Watu wengi wana prefer zaidi Marekani na Ulaya kwa opportunities hawaendi kutalii, unaenda Singapore kushangaa magorofa?sioni kama ni pigo wakati kuna nchi nzuri siku hizi kuliko hio USA..me uniambie nichague nchi nitaanza na new zealand,japan,china,sweden,singapore,ndo nije USA nchi tu kibao za asia ni mbadala wa usa....hao marekani kama wanataka watusaidie kweli wachukue hatua kubwa
sasa mafwele angekuwa mfanyabiashara mkubwa au mwanasiasa kweli imgekuwa pigo ila ni kamanda tu hahahahaWatu wanaenda Marekani na Ulaya kwa opportunities hawaendi kutalii, unaenda Singapore kushangaa magorofa.
wanatakiwa wazuiwe wafanyabiashara na wanasiasa ndo linakuwa pigo sio kamanda wa polisi hana impact kwenye uchumiNi kweli, ila lengo lao siyo hilo.
Sasa alikuwa anakwenda Marekani kufanya nini si angeenda Japan.sasa mafwele angekuwa mfanyabiashara mkubwa au mwanasiasa kweli imgekuwa pigo ila ni kamanda tu hahahaha
Comment from another brain crippled, named Choicevariable, ambaye ni miongoni mwa kundi la watekaji na wauji, sawa na lile jingine liitwalo Tlaatlaah. Damu za watu, zimewaondolea akili.Chadomo Huwa ni wapuuzi sana Sasa mtu kuzuiwa kwenda Marekani amekomolewa nini? Makonda si alishazuiwa Kuna kipi kipya?
Labda ingekuwa qanachukuliwa hatu za kisheria harafu kilichotajwa ni Kwa sababu za Wakunya sio nyie Chadomo,hapo hakuna Cha kushangilia.
Mafwele ni mtu mdogo tu kuna viongoz wa juu. Matter of facts hata mali zao ilizopo nje zidhobitiwe
Wewe inaona biashara tuu angle ndogo sana hiyo, una watoto wanasoma huko wakinyimwa visa? wengine wanaenda kwa matibabu, una akaunti huko, wengine wana properties wananyumba huko kama Kikwete, think bigger don't be myopic.wanatakiwa wazuiwe wafanyabiashara na wanasiasa ndo linakuwa pigo sio kamanda wa polisi hana impact kwenye uchumi
Hiyo ban inamsaidia vipi aliyewahi kufanyiwa ukatili na Faustina kupata haki yake?Kill him [Mafwele].
Bitch ass nigga 🖕.
Shida ya nyie Chadomo mna akili ndogo sana.Nimeuliza kwamba Mafwele sio wa kwanza kuzuiwa alishazuiwa Bashite Kwa madai hayo hayo.Comment from another brain crippled, named Choicevariable, ambaye ni miongoni mwa kundi la watekaji na wauji, sawa na lile jingine liitwalo Tlaatlaah. Damu za watu, zimewaondolea akili.
Hiyo ban haiwez kumzuia au kumpunguza ukatili, tuache au tupunguze matarajio ambayo hayapoWewe inaona biashara tuu angle ndogo sana hiyo, una watoto wanasoma huko wakinyimwa visa? wengine wanaenda kwa matibabu, una akaunti huko, think bigger.
Wewe inaona biashara tuu angle ndogo sana hiyo, una watoto wao wanasoma huko wakinyimwa Vida? wengine wanaenda kwa matibabu, una akaunti huko, think bigger.
kwamba watoto wamafwele kuzuiwa marekani ndo pigo kwa tanzania ..tunamzunguzia mafwele hapaWewe inaona biashara tuu angle ndogo sana hiyo, una watoto wanasoma huko wakinyimwa visa? wengine wanaenda kwa matibabu, una akaunti huko, wengine wana properties wananyumba huko kama Kikwete, think bigger.
hata mimi nashangaa mtu ambaye anaweza kubadilishwa kazi akapewa mwingine hiko cheo hata akipigwa ban imesaidia nini kama taifa kwenye huu mkwamo..kwanza unakuta hata watoto wenyewe walio marekani labda wawili tu au mmoja .Hiyo ban haiwez kumzuia au kumpunguza ukatili, tuache au tupunguze matarajio ambayo hayapo
You are not informed, ignorant! Na unaweza kuwa waziri wa Samia.Chadomo Huwa ni wapuuzi sana Sasa mtu kuzuiwa kwenda Marekani amekomolewa nini? Makonda si alishazuiwa Kuna kipi kipya?
Labda ingekuwa qanachukuliwa hatu za kisheria harafu kilichotajwa ni Kwa sababu za Wakunya sio nyie Chadomo,hapo hakuna Cha kushangilia.
Hujui maana ya kupigwa ban kwenye nchi kubwa kama Marekani, sidhani kama hata una passport wewe.kwamba watoto wamafwele kuzuiwa marekani ndo pigo kwa tanzania ..tunamzunguzia mafwele hapa
You are not informed, ignorant! Na unaweza kuwa waziri wa Samia.
Ukiingizwa kwenye computer ya ban Marekani iko shared sehemu zote muhimu na different immigration dpts za nchi nyingine. Hata Prime Banks. Yaani kama wewe ni international citizen kama mimi basi ni hasara kubwa. Ila kama wewe kariokoo - Manzese basi hamna shaka.
Maana hapa kuna Mamba na Kenge
Watu wanatumia mahaba na hisia kujadili hiyo ban.kwamba watoto wamafwele kuzuiwa marekani ndo pigo kwa tanzania ..tunamzunguzia mafwele hapa
Kuna ulazima gani wa kuwa international? Tufanye ziko shared mara ngapi umemuona Makonda akisafiri mfano juzi tuu alikuwa Morocco kwenye Afcon huko sio kuwa international?You are not informed, ignorant! Na unaweza kuwa waziri wa Samia.
Ukiingizwa kwenye computer ya ban Marekani iko shared sehemu zote muhimu na different immigration dpts za nchi nyingine. Hata Prime Banks. Yaani kama wewe ni international citizen kama mimi basi ni hasara kubwa. Ila kama wewe kariokoo - Manzese basi hamna shaka.
Maana hapa kuna Mamba na Kenge
Huyo kubwa la maadui anakula vizuri na hao wapiga ban, kimsingi wapiga ban nj waigizaji tu.Hata kubwa la maadui lipigwe ban kwani hao kina Mafwele wanatekeleza amri yake.