Magaidi 15 wa Israel ambao wanaua watoto Gaza maiti zao zimepelekwa Israel

Magaidi 15 wa Israel ambao wanaua watoto Gaza maiti zao zimepelekwa Israel

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Afu utasikia zayuni kashiba migebuka hooo cheki Gaza ilivokuwa tatizo sio magofu tatizo je zayuni kawashinda Hamas mwezi wa 14 huu Bado IDF wnaendelea kufa Acha mungu aitwe mungu. Yani zayuni huu mwaka uishe alaka kadhalilika sana. Kikundi tu akina ndege akina umeme maji akina kifaru akina Air D yoyote lkn zayuni anazika vijana wake kwa mamia!!!
 
Back
Top Bottom