Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaukumbi.
⚡️15 Israeli terrorists were eliminated by the resistance since the start of December according to Israeli announcements (the real number is more).
===============
Magaidi 15 wa Israeli waliondolewa na upinzani tangu mwanzo wa Desemba kulingana na matangazo ya Israeli (idadi halisi ni zaidi).
View: https://x.com/suppressednws/status/1871456507998707738?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wavaa kobazi bhana mnachekesha
⚡️BREAKING:Kumbe kujiliwaza kupo kwa aina nyingi?
$ 32 × 13 = 416 milion dollars kazi nzuli ajue ubabe kwasasa unamigalama mingi vifo pesa uhalibifu wa Mali nk!!⚡️BREAKING:
Vikosi vya jeshi la Yemen vimetangaza kuitungua ndege isiyo na rubani ya MQ-9 ya Marekani ilipokuwa ikifanya mashambulizi ya kiuhasama katika anga ya Jimbo la Al Bayda kwa kombora lililotengenezwa kienyeji kutoka ardhini hadi angani.
Kila ndege isiyo na rubani inagharimu karibu $32M, Yemen ilidunguliwa 13.
Jumla= 416 M.
Ww ulitakaje yeye afanyeje!!! anaelimisha jamiii kosa.Kweli Ritz Una roho ya paka. Bado unapost na kuendeleza ligi hadi leo?
$ 32 × 13 = 416 milion dollars kazi nzuli ajue ubabe kwasasa unamigalama mingi vifo pesa uhalibifu wa Mali nk!!