Nimeishajifunza.Jifunze uandishi
Zayani w tandaimbaa wala chamak nchanga kachafukwa!!!!Jifunze uandishi
Kumbe kujiliwaza kupo kwa aina nyingi?
Aisee tumekumiss sana kama tulivyowamiss hezbullahWanaukumbi.
⚡️15 Israeli terrorists were eliminated by the resistance since the start of December according to Israeli announcements (the real number is more).
===============
Magaidi 15 wa Israeli waliondolewa na upinzani tangu mwanzo wa Desemba kulingana na matangazo ya Israeli (idadi halisi ni zaidi).
View: https://x.com/suppressednws/status/1871456507998707738?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Aisee tumekumiss sana kama tulivyowamiss hezbullah
Aisee tumekumiss sana kama tulivyowamiss hezbullah
Elo elo Damu za raia wa Palestine ni nzito aziwez kupotea kimya kimya lazima vishindo vyake viwafikie wauwaji wake na wanaotoa support japo hawao wanaumia kwanamna moja uko Telaviv airport imefungwa uko Red sea nako moto unawaka. Ardhi ya mwarabu upole raia wake uwauwe!!! Hiii vita Wazungu wamedandia mgongo w ngili!! Wawe tayali kulipia Ardhi kwa Damu na malizao.!