Elo elo Damu za raia wa Palestine ni nzito aziwez kupotea kimya kimya lazima vishindo vyake viwafikie wauwaji wake na wanaotoa support japo hawao wanaumia kwanamna moja uko Telaviv airport imefungwa uko Red sea nako moto unawaka. Ardhi ya mwarabu upole raia wake uwauwe!!! Hiii vita Wazungu wamedandia mgongo w ngili!! Wawe tayali kulipia Ardhi kwa Damu na malizao.!
Pole kunywa maji mengi utapoa si uliambiwa na mchungaj zayuni apigiki we toa macho tu kisha kadai Sadaka yako!!Wafia dini mnamatatizo
Una matatizo ya akiliPole kunywa maji mengi utapoa si uliambiwa na mchungaj zayuni apigiki we toa macho tu kisha kadai Sadaka yako!!
Huyo jihadist ana chuki shetani arudi shule! Chuki zimemjaa toka unyayoni hadi utosini hana jema ila chuki!God bless Israel
Mara ya mwisho hamas kurusha kombora ni lin mkuuAfu utasikia zayuni kashiba migebuka hooo cheki Gaza ilivokuwa tatizo sio magofu tatizo je zayuni kawashinda Hamas mwezi wa 14 huu Bado IDF wnaendelea kufa Acha mungu aitwe mungu. Yani zayuni huu mwaka uishe alaka kadhalilika sana. Kikundi tu akina ndege akina umeme maji akina kifaru akina Air D yoyote lkn zayuni anazika vijana wake kwa mamia!!!