Magaidi 5 raia wa Israel wanaohusishwa na ISIS wakamatwa. Walipanga kulipua majengo marefu zaidi ya kibiashara Tel Aviv's Azrieli Mall

Habari za uongo uongo mbona zinakuja nyingi wakati huu ambapo jitu hovyo(Israel) limepigwa kipigo cha aibu na mpaka anaunyaunya kujibu mashambulizi
 
Iran akitaka kuliangusha analitungua kutokea Iran maana hamna Air defence hapo Israel ile plastic dome imechemka
 
Unaota ww ISIS ashambulie Israel wakati ISIS ni product ya Israel+USA
 
Hazikuwepo na wala hazipo kwenye nchi za kuvamia. Zilianzishwa na wenyewe wenye arrdhi yao.

israel ilianzishwa na nani?
Jeremiah 30:1-31:40

The word that came to Jeremiah from the Lord: “Thus says the Lord, the God of Israel: Write in a book all the words that I have spoken to you. For behold, days are coming, declares the Lord, when I will restore the fortunes of my people, Israel and Judah, says the Lord, and I will bring them back to the land that I gave to their fathers, and they shall take possession of it.” These are the words that the Lord spoke concerning Israel and Judah: “Thus says the Lord: We have heard a cry of panic, of terror, and no peace. ...
 
Raia wa Israel wenye asili ya kiarabu!

Mtoto wa nyoka ni nyoka tu.
Makosa yale Yale ya Abraham kuleta uzao wa kiarabu katika mbegu ya ahadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…