Magaidi 5 raia wa Israel wanaohusishwa na ISIS wakamatwa. Walipanga kulipua majengo marefu zaidi ya kibiashara Tel Aviv's Azrieli Mall

Magaidi 5 raia wa Israel wanaohusishwa na ISIS wakamatwa. Walipanga kulipua majengo marefu zaidi ya kibiashara Tel Aviv's Azrieli Mall

Habari za uongo uongo mbona zinakuja nyingi wakati huu ambapo jitu hovyo(Israel) limepigwa kipigo cha aibu na mpaka anaunyaunya kujibu mashambulizi
 
Iran akitaka kuliangusha analitungua kutokea Iran maana hamna Air defence hapo Israel ile plastic dome imechemka
 
Wadau hamjamboni nyote?

Magaidi watano wenye uraia wa Israel na asili ya kiarabu wamenaswa wakipanga kulipua majengo makubwa zaidi ya kibiashara jijini Tel Aviv

Yasemekana mpango huo haramu.ambaomkama ungefanikiwa ungeleta madhara maafa makubwa walifadhiliwa na magaidi wa kundi hatari la kigaidi la ISIS

Shehe Yusufu ndiye aliyeratibu na aliyeongoza kikundi hicho akisaidiwa na Mohamed Azam

Magaidi hao wote Wana uraia wa Israel na wakazi wa eneo la Taybeh

October 10, 2024


5 Israelis linked to ISIS arrested for plotting car-bombing of Tel Aviv’s Azrieli Mall

Today, 12:16 pm


The five residents of Taybeh in central Israel formed a terror cell allied to ISIS, the fanatical terror group that originated in Iraq and Syria.

The five were arrested after a month-long clandestine investigation and will face charges in the coming days. The cell’s leaders were named as Mahmoud Azam and Ibrahim Sheik Yousef. They recruited three others — Sajed Masarwa, Abdullah Baransi and Abdel Kareem Baransi


Police and the Shin Bet say the five studied terror attacks in Syria and discussed the amount of explosives needed to bring down the Tel Aviv’s iconic Azrieli towers. They say Azam and Yousef were in contact with foreign ISIS agents and planned to travel abroad to meet with ISIS operatives.

They say the plan was uncovered with the help of “precise and effective intelligence operations,” and was stopped in its preliminary stages.
Unaota ww ISIS ashambulie Israel wakati ISIS ni product ya Israel+USA
 
Hazikuwepo na wala hazipo kwenye nchi za kuvamia. Zilianzishwa na wenyewe wenye arrdhi yao.

israel ilianzishwa na nani?
Jeremiah 30:1-31:40

The word that came to Jeremiah from the Lord: “Thus says the Lord, the God of Israel: Write in a book all the words that I have spoken to you. For behold, days are coming, declares the Lord, when I will restore the fortunes of my people, Israel and Judah, says the Lord, and I will bring them back to the land that I gave to their fathers, and they shall take possession of it.” These are the words that the Lord spoke concerning Israel and Judah: “Thus says the Lord: We have heard a cry of panic, of terror, and no peace. ...
 
Raia wa Israel wenye asili ya kiarabu!

Mtoto wa nyoka ni nyoka tu.
Makosa yale Yale ya Abraham kuleta uzao wa kiarabu katika mbegu ya ahadi.
 
Back
Top Bottom