Magaidi wa dola la Kiislamu (Islamic State) wakiri kuhusika kwenye shambulizi la kigaidi Urusi ambalo limeua Warusi 62

Haha anaenda kufilimbwa UKRAINE ,hio mambo ya ISIS hata wao wenyewe wanajua ni changa la macho.....subirini watu waanze kupeleka moto, huo mchongo Ukraine hajitoi kabisa
Sasa Ukraine afirimbwe mara ngapi?. Kashafirimbwa ni mwaka wa 2 sasa.
 
Washakamatwa tayari,wametoka tajhikistan wengine wamekimbilia machakani hao watamaliziwa hukohuko.
 
Urusi kipenzi cha dini ya mnyazimungu, wavaa vipedo, misuli na makobazi, nini kimetokea mpaka kushambuliwa na hawa fans wao?! Amakweli duniani hakuna rafiki wala adui wa kudumu.... 🤔
 
Beware of the WRATH of RUSSIA
 
Uhuni tu na arrogance vya wa Russia. Ni nini kipya atakachofanya totauti na afanyavyo kwa miaka 2 sasa?
Nahisi ulikua bado upo kijijini kwenu huko
Waulize Marekani na NATO alichofanya Russia Syria hadi leo Assad yupo madarakani
 

Ukraine hupiga Moscow bila kukana, tena waliwahi kufikisha drone ikulu, wao hawaui raia kwenye makongomano, hayo ni mauaji ya magaidi ya dini yenu ya uislamu na uzombi mnaofundishwa kwenye misikiti.
 
Ukraine hupiga Moscow bila kukana, tena waliwahi kufikisha drone ikulu, wao hawaui raia kwenye makongomano, hayo ni mauaji ya magaidi ya dini yenu ya uislamu na uzombi mnaofundishwa kwenye misikiti.
Hao ni ISIS wanaofadhiliwa na magharibi ,hilo hawawezi kuliruka kabisa,,,,walikosea wangetumia waarabu wangejilipua wawahi bikira mbinguni, shida wamewatumia watu wasiojua hizo bikira jamaa waliamua kutoroka ili wakazitumbue dolari buku 5 zao na wakashikwa kila kitu watasema
 
Unaona shida ilipo (nasisi? Wewe na nani? Kwanza hawakujui uko bongo, unapigwa na jua , umeshindwa tu hata kusaidia nchi yako kutoka kwenye ufisadi. Wewe ni mashabiki wa nchi za watu. Halaf eti unajua CIA? Take a hike bro, you know nothing
jomba acha makasirikow hii ni changamsha genge tu
 
Ukraine hupiga Moscow bila kukana, tena waliwahi kufikisha drone ikulu, wao hawaui raia kwenye makongomano, hayo ni mauaji ya magaidi ya dini yenu ya uislamu na uzombi mnaofundishwa kwenye misikiti.
...Surrender alive is also unusual for ordinary terrorists....
 
Waislam bwana, yaani yale yale aliyokuwa anafanya Mohammed enzi zake kasoro kubaka na kulawiti vitoto tu bado wanaiga mpaka leo hii,, sasa hapa amani iko wapi?
 
Ila watakapo anza kusakwa na kupewa kichapo kikali wataanza kulia lia.Russia ile nchi ina watu wanapenda vita hao isis wamechokoza mzinga wa nyuki tujipe mda tu wa kuanza kuona nundu.
Sasa Kama ni vita hao IS ndio wanapenda vita hakunako yaani ni zaidi ya vile Russians wanavyopenda kuishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…