Sasa Ukraine afirimbwe mara ngapi?. Kashafirimbwa ni mwaka wa 2 sasa.Haha anaenda kufilimbwa UKRAINE ,hio mambo ya ISIS hata wao wenyewe wanajua ni changa la macho.....subirini watu waanze kupeleka moto, huo mchongo Ukraine hajitoi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Ukraine afirimbwe mara ngapi?. Kashafirimbwa ni mwaka wa 2 sasa.Haha anaenda kufilimbwa UKRAINE ,hio mambo ya ISIS hata wao wenyewe wanajua ni changa la macho.....subirini watu waanze kupeleka moto, huo mchongo Ukraine hajitoi kabisa
Wanasema ile ilikua ni operesheni maalum tu ila sasa wanaanza phase ya vitaSasa Ukraine afirimbwe mara ngapi?. Kashafirimbwa ni mwaka wa 2 sasa.
Uhuni tu na arrogance vya wa Russia. Ni nini kipya atakachofanya totauti na afanyavyo kwa miaka 2 sasa?Wanasema ile ilikua ni operesheni maalum tu ila sasa wanaanza phase ya vita
Alieanzisha ndo anajua anaelekea wapiUhuni tu na arrogance vya wa Russia. Ni nini kipya atakachofanya totauti na afanyavyo kwa miaka 2 sasa?
Beware of the WRATH of RUSSIAWametoa taarifa kwenye mtandao wa Telegram kwamba wao ndio walihusika........
Putin alikua ameanza kujenga uhusiano na magaidi ya hii dini, hakujua nyoka haachi asili yake
ISIS claims responsibility for attack in busy Moscow-area concert venue that left at least 40 dead
ISIS has claimed responsibility for an attack at a popular concert venue complex near Moscow Friday that left at least 40 dead and more than 100 wounded after assailants stormed the venue with guns and incendiary devices.
The terror group took responsibility for the attack in a short statement published by ISIS-affiliated news agency Amaq on Telegram on Friday. The group did not provide evidence to support the claim.
Video footage from the site of the attack, the Crocus City Hall concert venue, shows the vast complex, which is home to both the music hall and a shopping center, on fire with smoke billowing into the air. State-run RIA Novosti reported the armed individuals “opened fire with automatic weapons” and “threw a grenade or an incendiary bomb, which started a fire.” They then “allegedly fled in a white Renault car,” the news agency said.
State media Russia 24 reported the roof on the venue has partially collapsed.
The attack unfolded before the music group Picnic was set to perform, according to Russia 24. The band’s manager told state media that the performers were unharmed.
The Russia Prosecutor General’s Office said: “Unidentified people in camouflage broke into Crocus City Hall and started shooting before the start of the concert,” according to TASS.
Taarifa ya Awali: Urusi yakumbwa na shambulio la kigaidi jijini Moscow, Watu kadhaa wanasadikika kuuawa
Nahisi ulikua bado upo kijijini kwenu hukoUhuni tu na arrogance vya wa Russia. Ni nini kipya atakachofanya totauti na afanyavyo kwa miaka 2 sasa?
Nnimezungumzia UkraineNahisi ulikua bado upo kijijini kwenu huko
Waulize Marekani na NATO alichofanya Russia Syria hadi leo Assad yupo madarakani
The MSM, Ukraine and NATO states are waging an informational campaign to hide Ukrainian guilt and point on ISIS. However, the analysis of the attack raises a lot of suspicions. Indeed, the terrorist attack was well planned and competent actions of the attackers allowed them to execute the massacre and flee the scene (but not to hide in Ukraine); but the attack is not similar to the terror methods used by ISIS militants. Often, such mass terrorist attacks are carried out, in “one way”, no escape is planned in advance. Such terrorist attacks are usually accompanied by hostage-taking and political demands, gaining the maximum attention to the situation. But in the Crocus City Hall, the terrorists quickly executed as many people as possible, set the building on fire for the sake of distraction and hastily departed by car in the only possible direction for salvation – to Ukraine. Surrender alive is also unusual for ordinary terrorists.
Hao ni ISIS wanaofadhiliwa na magharibi ,hilo hawawezi kuliruka kabisa,,,,walikosea wangetumia waarabu wangejilipua wawahi bikira mbinguni, shida wamewatumia watu wasiojua hizo bikira jamaa waliamua kutoroka ili wakazitumbue dolari buku 5 zao na wakashikwa kila kitu watasemaUkraine hupiga Moscow bila kukana, tena waliwahi kufikisha drone ikulu, wao hawaui raia kwenye makongomano, hayo ni mauaji ya magaidi ya dini yenu ya uislamu na uzombi mnaofundishwa kwenye misikiti.
jomba acha makasirikow hii ni changamsha genge tuUnaona shida ilipo (nasisi? Wewe na nani? Kwanza hawakujui uko bongo, unapigwa na jua , umeshindwa tu hata kusaidia nchi yako kutoka kwenye ufisadi. Wewe ni mashabiki wa nchi za watu. Halaf eti unajua CIA? Take a hike bro, you know nothing
...Surrender alive is also unusual for ordinary terrorists....Ukraine hupiga Moscow bila kukana, tena waliwahi kufikisha drone ikulu, wao hawaui raia kwenye makongomano, hayo ni mauaji ya magaidi ya dini yenu ya uislamu na uzombi mnaofundishwa kwenye misikiti.
Tatizo wanaponza wenzao,wasije sema tu wanauliwa watoto na kina mama.Wanasema ile ilikua ni operesheni maalum tu ila sasa wanaanza phase ya vita
Nini kitakuwa cha tofauti??Wanasema ile ilikua ni operesheni maalum tu ila sasa wanaanza phase ya vita
Wataalamu wa mambo wanasema chanzo kinatokea Syria.ISIS kweli? Matilaba yao ni nini hasa? Wana nini dhidi ya Urusi?
Chips mayaiNini kitakuwa cha tofauti??
Sasa Kama ni vita hao IS ndio wanapenda vita hakunako yaani ni zaidi ya vile Russians wanavyopenda kuishiIla watakapo anza kusakwa na kupewa kichapo kikali wataanza kulia lia.Russia ile nchi ina watu wanapenda vita hao isis wamechokoza mzinga wa nyuki tujipe mda tu wa kuanza kuona nundu.