Magaidi wa dola la Kiislamu (Islamic State) wakiri kuhusika kwenye shambulizi la kigaidi Urusi ambalo limeua Warusi 62

Magaidi wa dola la Kiislamu (Islamic State) wakiri kuhusika kwenye shambulizi la kigaidi Urusi ambalo limeua Warusi 62

Urusi hata ikitokea rushwa, mnasema Western world. Yani Urusi haiwezi fanya mambo yake bila kuitaja West hasa Marekani.

Ona mtu hajui ugomvi uliopo baina ya ISIS na Russia.

Na aliyekwambia ISIS ni rafiki wa mataifa ya Kiislamu nani kwani huko Iraq, Syria, Libya ambako ilioperate ni Wabudha?

ISIS sio Waislamu ni Wasabato? Kuna Shahidi wa Yehova uliwahi muona ISIS?
achana na kichwa panzi huyo
duniani hayupo akhera anatafutwa
 
Matukio yote ya kigaidi huwa yanatokea downtown from Paris, London, Boston, Russia nk ila mitaani utasikia intelligence ya nchi fulani noma.
 
Dunia ishirikiane kuwasafisha ISIS ALSHABAB BOKO HARAM AL QAIDA nk nasisi hapa Tanzania tuna Mashabiki wa Ugaidi wengi sana kuna kipindi huwa nasema tuko Hatarini.
hapa Tz ni swala la muda tu maana wapo wanapata experience huko msumbiji , drc na somalia

WATARUDI TU KUIPIGANIA SHARIA HAPA NYUMBANI
 
Back
Top Bottom