Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Kule Syria mbona wameshindwa kumtoa AsadSasa Kama ni vita hao IS ndio wanapenda vita hakunako yaani ni zaidi ya vile Russians wanavyopenda kuishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule Syria mbona wameshindwa kumtoa AsadSasa Kama ni vita hao IS ndio wanapenda vita hakunako yaani ni zaidi ya vile Russians wanavyopenda kuishi
achana na kichwa panzi huyoUrusi hata ikitokea rushwa, mnasema Western world. Yani Urusi haiwezi fanya mambo yake bila kuitaja West hasa Marekani.
Ona mtu hajui ugomvi uliopo baina ya ISIS na Russia.
Na aliyekwambia ISIS ni rafiki wa mataifa ya Kiislamu nani kwani huko Iraq, Syria, Libya ambako ilioperate ni Wabudha?
ISIS sio Waislamu ni Wasabato? Kuna Shahidi wa Yehova uliwahi muona ISIS?
kwan vita imekwisha?Kule Syria mbona wameshindwa kumtoa Asad
Asad katoka?kwan vita imekwisha?
kwani hao watoto na kina mama wameanza kuuliwa leo?Tatizo wanaponza wenzao,wasije sema tu wanauliwa watoto na kina mama.
Putin anapeleka moto upya kabisa.
Sasa unataka atoke kwa muda unaotaka wewe? kamtoe wewe basiAsad katoka?
Anabanduliwa cross dresser wa ukraine kwanzaSasa unataka atoke kwa muda unaotaka wewe? kamtoe wewe basi
Tuki hapaa j3 tutaona matokeo.kwani hao watoto na kina mama wameanza kuuliwa leo?
FSB chalii......mjini kati kabisa.
Mimi napinga nini?Mbona na wewe unapinga sana wasiwe ISIS, kwani wakiwa ISIS sijui ISIL ndo inakuwaje?
HahahMatukio yote ya kigaidi huwa yanatokea downtown from Paris, London, Boston, Russia nk ila mitaani utasikia intelligence ya nchi fulani noma.
Vipi ulikubali kupigwa chanjo ya kovid ?Yaani wewe mmatumbi huku bongi unajua zaidi kuliko intelligence agencies kubwa huku duniani? Wabongo bwana dream on 🤣
Asubuhi njemaSio wote hujitoa mhanga, hukamatwa wengi tu.
Hii Ni kweli kabisaWamelipwa ili kuja kuzuga eeh sisi tunajua ni Biden na vibaraka wake ndio wanahusika.
hapa Tz ni swala la muda tu maana wapo wanapata experience huko msumbiji , drc na somaliaDunia ishirikiane kuwasafisha ISIS ALSHABAB BOKO HARAM AL QAIDA nk nasisi hapa Tanzania tuna Mashabiki wa Ugaidi wengi sana kuna kipindi huwa nasema tuko Hatarini.
huona mabaya ya TBC wanaousubir ccmu wapate habari wawaletee watangaz ila unaona propaganda za ccn wanaozifuata habari zilipoCNN ni chombo cha propaganda.