sw bwege mwenzangu , akishikwa mmakonde mwenzio ndo utaelewa hapo Urusi anaokoteza yeyote ili hali iwe swali , wahusika wa tukio hilo hawawez kuwa wanatokea nje na hata kama wanatokea nje hawawez safiri onspot wamefanya tukio , kwa wenye akili ndogo hamuez elewa , hao wapo humo humo Urusi mpk hali itulie ndo wataanza kuondokaWewe Bwege subiri hao watauliwa mpaka chooni kwao.
Wameenda kuchokoza wenyewe na inteligensia ishajua wako wapi na ni kina nani.
Subiri kinachofuata.
unahisi Ukraine ni Burundi ?Haha anaenda kufilimbwa UKRAINE ,hio mambo ya ISIS hata wao wenyewe wanajua ni changa la macho.....subirini watu waanze kupeleka moto, huo mchongo Ukraine hajitoi kabisa
kwa ulivyo eleza kwann usihisi ni wao Urusi wanahusika na hili tukio ili kuweta warusi pamoja dhidi ya adui wa Putini ambae ni Ukraine ? kama Ukraine inaeza fanya tukio ndan ya Moscow je kwann wanashindwa fanya hivyo kwenye majimbo ya jiran yake aliyopokonywa ?The MSM, Ukraine and NATO states are waging an informational campaign to hide Ukrainian guilt and point on ISIS. However, the analysis of the attack raises a lot of suspicions. Indeed, the terrorist attack was well planned and competent actions of the attackers allowed them to execute the massacre and flee the scene (but not to hide in Ukraine); but the attack is not similar to the terror methods used by ISIS militants. Often, such mass terrorist attacks are carried out, in “one way”, no escape is planned in advance. Such terrorist attacks are usually accompanied by hostage-taking and political demands, gaining the maximum attention to the situation. But in the Crocus City Hall, the terrorists quickly executed as many people as possible, set the building on fire for the sake of distraction and hastily departed by car in the only possible direction for salvation – to Ukraine. Surrender alive is also unusual for ordinary terrorists.
wavaa kobaz hawana rafiki wa kudumuKwani hao si ni rafiki zake imekuwaje hapo!
Uvinzaunahisi Ukraine ni Burundi ?
hapo Urusi anawadanganya wajinga tu , yaan mtu apige tukio halaf akimbilie kutoka nje ya nchi kipind hali si shwari bado ? Urusi anawatuliza wananchi wake kuonesha wapo vzr kijeshi il wahuni bado wapo ndan ya Urusi wanakula mema , hali ikituliza bas wanatoka nje ya Urusi vzr tuWashakamatwa tayari,wametoka tajhikistan wengine wamekimbilia machakani hao watamaliziwa hukohuko.
hahahaaa dunia ina wajinga wengi , operation mpk wanauana wao kwa waoWanasema ile ilikua ni operesheni maalum tu ila sasa wanaanza phase ya vita
huyo Assad anaongoza Syria ile ule ya 2009?Nahisi ulikua bado upo kijijini kwenu huko
Waulize Marekani na NATO alichofanya Russia Syria hadi leo Assad yupo madarakani
Vita ndo atafuta kabisahahahaaa dunia ina wajinga wengi , operation mpk wanauana wao kwa wao
sw bwege mwenzangu , akishikwa mmakonde mwenzio ndo utaelewa hapo Urusi anaokoteza yeyote ili hali iwe swali , wahusika wa tukio hilo hawawez kuwa wanatokea nje na hata kama wanatokea nje hawawez safiri onspot wamefanya tukio , kwa wenye akili ndogo hamuez elewa , hao wapo humo humo Urusi mpk hali itulie ndo wataanza kuondoka
ss hv wanashika waharifu wasiohusika na hilo tukio na wale wahamiaji haramu tu .
Washakamatwa na wengine wanauliwa machakani huko, maana walikimbia na jamaa wametangaza vita popote.sw bwege mwenzangu , akishikwa mmakonde mwenzio ndo utaelewa hapo Urusi anaokoteza yeyote ili hali iwe swali , wahusika wa tukio hilo hawawez kuwa wanatokea nje na hata kama wanatokea nje hawawez safiri onspot wamefanya tukio , kwa wenye akili ndogo hamuez elewa , hao wapo humo humo Urusi mpk hali itulie ndo wataanza kuondoka
ss hv wanashika waharifu wasiohusika na hilo tukio na wale wahamiaji haramu tu .
hv unahisi mtu aliefanikiwa kuingia Urusi na kupiga tukio na kutokomea pasipojulikana , anaweza fikiria kutoroka kipind nchi ina mhaho kama huo ?Hao ni ISIS wanaofadhiliwa na magharibi ,hilo hawawezi kuliruka kabisa,,,,walikosea wangetumia waarabu wangejilipua wawahi bikira mbinguni, shida wamewatumia watu wasiojua hizo bikira jamaa waliamua kutoroka ili wakazitumbue dolari buku 5 zao na wakashikwa kila kitu watasemaView attachment 2942723
unamzungumzia Putin au ?Kafiri
Naona KAFIRI umekuja na nyengine. Kafiri mkubwa kaondoka ktk dunia kuacha uislam ukienea. Kwa hivyo hata KAFIRI wewe utaondoka ktk dunia huku uislam ukiingia ktk nyumba yenu
kasome malengo ya ISISKule Syria mbona wameshindwa kumtoa Asad
Mngekodi wazee wa bikira 72 wangejipeleka kuziwahi ,shida kazi mmewapa watu wa enzi za soviet msela anapiga kazi anawaza kwenda kuzitumbua dolari alizoahidiwa,,,, siku nyingine muwatumie wale wenye uzoefu na hizo kazihv unahisi mtu aliefanikiwa kuingia Urusi na kupiga tukio na kutokomea pasipojulikana , anaweza fikiria kutoroka kipind nchi ina mhaho kama huo ?
URUSI ANAWAWAFARIJI TU WAJINGA , HAO WAHUNI WALIPANGA WANAFANYAJE TUKIO NA KUTAFUTA PA KUPOOZA KDG ILI HALI UTILITY KISHA NDO WATOROKE NCHI , NA HV NDO WATU HUFANYA MATUKIO , HIZI STORI ZA USHIKAJI WATU ZIPO KILA TUKIO LIKIFANYWA NA NYINF HUISHIA KUSHIKA WAHUNI TU
Kasome malengo ya Houthikasome malengo ya ISIS
kwann usijiuliz Assad anatwala Syria yote ? hao ISIS ndo wameongeza eneo ila Assad kapoteza eneo akiwa na msaada wa UrusiAsad katoka?
Nani kamegwa Ukraine pia?? Naona wanazi wameongeza eneo la utawala wa mrusikwann usijiuliz Assad anatwala Syria yote ? hao ISIS ndo wameongeza eneo ila Assad kapoteza eneo akiwa na msaada wa Urusi
je nan akshindwa hapo ?