sw bwege mwenzangu , akishikwa mmakonde mwenzio ndo utaelewa hapo Urusi anaokoteza yeyote ili hali iwe swali , wahusika wa tukio hilo hawawez kuwa wanatokea nje na hata kama wanatokea nje hawawez safiri onspot wamefanya tukio , kwa wenye akili ndogo hamuez elewa , hao wapo humo humo Urusi mpk hali itulie ndo wataanza kuondokaWewe Bwege subiri hao watauliwa mpaka chooni kwao.
Wameenda kuchokoza wenyewe na inteligensia ishajua wako wapi na ni kina nani.
Subiri kinachofuata.
ss hv wanashika waharifu wasiohusika na hilo tukio na wale wahamiaji haramu tu .