Magaidi wa dola la Kiislamu (Islamic State) wakiri kuhusika kwenye shambulizi la kigaidi Urusi ambalo limeua Warusi 62

Kwann walikuwa wanakimbilia Ukraine.? Kuna moja likikamatwa likawa linagoma kuongea, wakalikata sikio likawekewa ndomoni lile sikio lake lenyewe ndo likatoa ushirikiano. Ukraine, Us, UK wanahusika kwa 100 Kwa Hilo tukio.
 
Hili ni game tu, limetayarishwa na FSB, taasisi ya kijasusi ya urusi, wamelipua wao,watatengeneza ushahidi kuwa magaidi walipata msaada kutoka ukraine,
Hapo gaidi atahojiwa, atakili kabisa, alipewa msaada na viongozi, wa ukraine, hapo urusi itakuwa imepata sababu nyingine ya kuitandika ukraine, sasa hv wa rusi hawatajali matokeo ya uchaguzi, wao wanataka damu ya walioua ndugu zao imwagike!
Akili kubwa hizi,
 
wanashindwa fanya hivyo kwenye majimbo ya jiran yake aliyopokonywa ?
Aisee!! Huna taarifa kuwa mapigano yanaendelea kwenye majimbo yote yaliyojiunga na Russia...na Leo zimetoka taarifa missiles zimedakwa zikielekea Crimea??

Najua utakuwa Mgeni wa mzozo huu, mbali na "kunyanyua kwako mabega kama alwatan mchambuzi"

Military Situation On Ukrainian Frontlines On March 23, 2024
 
huona mabaya ya TBC wanaousubir ccmu wapate habari wawaletee watangaz ila unaona propaganda za ccn wanaozifuata habari zilipo
Hoja haikuwa tbc Bali cnn halafu unavitetes hivyo vyombo wakati vyenyewe vilikiri wazi wao na BBC kudanganywa juu ya silaha zaaangamizi irak .
 

Tatizo hata kama ikitokea keli walitumwa na Ukraine, hao Urusi wameshindwa kufumua hako kainchi Ukraine, mpaka leo wananyang'anyana vijiji huko mikoa ya mipakani, Kiev ilimshinda kuteka.
 
Si unamjua tena MK254 na stori zake za KUBUNI!
 
Si unamjua tena MK254 na stori zake za KUBUNI!

Jamaa vipi njaa ya hicho kitu huwa mnaita mfungo naona kama inakutesa, ila sio mfungo wa kweli, huwa mnabadilisha tu masaa ya kula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…