Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ni game tu, limetayarishwa na FSB, taasisi ya kijasusi ya urusi, wamelipua wao,watatengeneza ushahidi kuwa magaidi walipata msaada kutoka ukraine,Wametoa taarifa kwenye mtandao wa Telegram kwamba wao ndio walihusika........
Putin alikua ameanza kujenga uhusiano na magaidi ya hii dini, hakujua nyoka haachi asili yake
ISIS claims responsibility for attack in busy Moscow-area concert venue that left at least 40 dead
ISIS has claimed responsibility for an attack at a popular concert venue complex near Moscow Friday that left at least 40 dead and more than 100 wounded after assailants stormed the venue with guns and incendiary devices.
The terror group took responsibility for the attack in a short statement published by ISIS-affiliated news agency Amaq on Telegram on Friday. The group did not provide evidence to support the claim.
Video footage from the site of the attack, the Crocus City Hall concert venue, shows the vast complex, which is home to both the music hall and a shopping center, on fire with smoke billowing into the air. State-run RIA Novosti reported the armed individuals “opened fire with automatic weapons” and “threw a grenade or an incendiary bomb, which started a fire.” They then “allegedly fled in a white Renault car,” the news agency said.
State media Russia 24 reported the roof on the venue has partially collapsed.
The attack unfolded before the music group Picnic was set to perform, according to Russia 24. The band’s manager told state media that the performers were unharmed.
The Russia Prosecutor General’s Office said: “Unidentified people in camouflage broke into Crocus City Hall and started shooting before the start of the concert,” according to TASS.
Taarifa ya Awali: Urusi yakumbwa na shambulio la kigaidi jijini Moscow, Watu kadhaa wanasadikika kuuawa
Aisee!! Huna taarifa kuwa mapigano yanaendelea kwenye majimbo yote yaliyojiunga na Russia...na Leo zimetoka taarifa missiles zimedakwa zikielekea Crimea??wanashindwa fanya hivyo kwenye majimbo ya jiran yake aliyopokonywa ?
Hoja haikuwa tbc Bali cnn halafu unavitetes hivyo vyombo wakati vyenyewe vilikiri wazi wao na BBC kudanganywa juu ya silaha zaaangamizi irak .huona mabaya ya TBC wanaousubir ccmu wapate habari wawaletee watangaz ila unaona propaganda za ccn wanaozifuata habari zilipo
hata nyinyi msilalamikeTuki hapaa j3 tutaona matokeo.
Jamaa wanajipanga huko.
Msilalamike tu.
Mwambie Putin hayo maneno mimi nahusika nini.Hutaki ISIS wahusishwe, why?
Sasa Putin nitamkuta wapi rafiki yangu, mbona unanipa kazi nzito sana!Mwambie Putin hayo maneno mimi nahusika nini.
Hili ni game tu, limetayarishwa na FSB, taasisi ya kijasusi ya urusi, wamelipua wao,watatengeneza ushahidi kuwa magaidi walipata msaada kutoka ukraine,
Hapo gaidi atahojiwa, atakili kabisa, alipewa msaada na viongozi, wa ukraine, hapo urusi itakuwa imepata sababu nyingine ya kuitandika ukraine, sasa hv wa rusi hawatajali matokeo ya uchaguzi, wao wanataka damu ya walioua ndugu zao imwagike!
Akili kubwa hizi,
You know betterWhat wrath?
Si unamjua tena MK254 na stori zake za KUBUNI!Wametoa taarifa kwenye mtandao wa Telegram kwamba wao ndio walihusika........