Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Askari wa akiba aliuawa huko Khan Yunis baada ya kuhangaika na magaidi waliojaribu kumteka nyara.
Kulingana na uchunguzi wa awali, wakati wa operesheni za IDF huko Khan Yunis, magaidi waliibuka kutoka chini ya ardhi na kushambulia kitengo cha IDF. Wakati wa shambulio hilo, magaidi hao walijaribu kumteka nyara mwanajeshi aliyekuwa akiendesha Excavator.
Askari huyo alipigana kiume na magaidi walipoona anawazidi nguvu wakampiga risasi na kumuua. Vikosi vya usalama katika eneo hilo viliwafyatulia risasi magaidi hao na kuwapiga kadhaa kati yao na kuzima jaribio la utekaji nyara.
Jina la askari wa IDF aliyefariki bado halijaidhinishwa ili kuchapishwa.