Magaidi wa Hamas wajaribu kumteka askari wa Israel huko Khan Younis na kushindwa!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Askari wa akiba aliuawa huko Khan Yunis baada ya kuhangaika na magaidi waliojaribu kumteka nyara.

Kulingana na uchunguzi wa awali, wakati wa operesheni za IDF huko Khan Yunis, magaidi waliibuka kutoka chini ya ardhi na kushambulia kitengo cha IDF. Wakati wa shambulio hilo, magaidi hao walijaribu kumteka nyara mwanajeshi aliyekuwa akiendesha Excavator.

Askari huyo alipigana kiume na magaidi walipoona anawazidi nguvu wakampiga risasi na kumuua. Vikosi vya usalama katika eneo hilo viliwafyatulia risasi magaidi hao na kuwapiga kadhaa kati yao na kuzima jaribio la utekaji nyara.

Jina la askari wa IDF aliyefariki bado halijaidhinishwa ili kuchapishwa.
 
Kama mpango wa amani hautafikiwa Israel ina haki ya kuigeuza Gaza kuwa vifusi
Watu awaogopi kufa sembufe kifusi

waisrael kwasasa wameshagundua waliingizwa Chaka 1948 kupelekwa mitaaa ya wahuni wa Kiarabu

Dunia yote hi ya waoga unachaguaje kuishi kibabe mbele ya Waraabu

Mwarabu sio poaaa ndugu

MUNGU MKUU mwenyewe baada ya kumuumba pale mashariki ya kati ikabidi kumtumia wajumbe kadhaa wa kadhaa ili apoeee kidogo apate kuishi na Binadam wengine!!!!

Muisrael kajichanganya vibayaa sana

Vita vitakuwa vyamilele amina mwarabu pooo kwake mwiko kabisa..

SULUHU pekeee lazima waisrael watoke mbiooo ile mitaaa Ya wahuni SUGU zaid ya uhuni wao!!!!!!!!!
 
Askari wa akiba aliuawa huko Khan Yunis baada ya kuhangaika na magaidi waliojaribu kumteka nyara.

Kulingana na uchunguzi wa awali, wakati wa operesheni za IDF huko Khan Yunis, magaidi waliibuka kutoka chini ya ardhi na kushambulia kitengo cha IDF. Wakati wa shambulio hilo, magaidi hao walijaribu kumteka nyara mwanajeshi aliyekuwa akiendesha Excavator.

Askari huyo alipigana kiume na magaidi walipoona anawazidi nguvu wakampiga risasi na kumuua. Vikosi vya usalama katika eneo hilo viliwafyatulia risasi magaidi hao na kuwapiga kadhaa kati yao na kuzima jaribio la utekaji nyara.

Jina la askari wa IDF aliyefariki bado halijaidhinishwa ili kuchapishwa.
Waisrael ni ujinga wao tu !!

uku Afrika watu wanawapenda sana kama Propaganda watu wa Afrika walishaiva wangeamia Afrika tu wangeishi vizuri kuliko kuhamia mitaa ya Waraabu

Waraabu kihistoria ni wahuni kinomaaaa pale Vita vitatembea miaka 100+
 
Askari wa akiba aliuawa huko Khan Yunis baada ya kuhangaika na magaidi waliojaribu kumteka nyara.

Kulingana na uchunguzi wa awali, wakati wa operesheni za IDF huko Khan Yunis, magaidi waliibuka kutoka chini ya ardhi na kushambulia kitengo cha IDF. Wakati wa shambulio hilo, magaidi hao walijaribu kumteka nyara mwanajeshi aliyekuwa akiendesha Excavator.

Askari huyo alipigana kiume na magaidi walipoona anawazidi nguvu wakampiga risasi na kumuua. Vikosi vya usalama katika eneo hilo viliwafyatulia risasi magaidi hao na kuwapiga kadhaa kati yao na kuzima jaribio la utekaji nyara.

Jina la askari wa IDF aliyefariki bado halijaidhinishwa ili kuchapishwa.
kama alikufa vizuri sana
 
Gaidi ni huyo mwendesha excavator
 
Watu awaogopi kufa sembufe kifusi

waisrael kwasasa wameshagundua waliingizwa Chaka 1948 kupelekwa mitaaa ya wahuni wa Kiarabu

Dunia yote hi ya waoga unachaguaje kuishi kibabe mbele ya Waraabu

Mwarabu sio poaaa ndugu

MUNGU MKUU mwenyewe baada ya kumuumba pale mashariki ya kati ikabidi kumtumia wajumbe kadhaa wa kadhaa ili apoeee kidogo apate kuishi na Binadam wengine!!!!

Muisrael kajichanganya vibayaa sana

Vita vitakuwa vyamilele amina mwarabu pooo kwake mwiko kabisa..

SULUHU pekeee lazima waisrael watoke mbiooo ile mitaaa Ya wahuni SUGU zaid ya uhuni wao!!!!!!!!!
Wale wapalestina sio waarabu ndio maanà nchi za kiarabu zinawkataa
 
Nchi za kiarabu hazina kątami kwa sababu nasi waarabu bali Zina wa kąta kwa sababu ya UGAIDI wao!!!!
Akili zenu sijui kwanini hamzitumii mnalishwa tu propaganda sasa unamuita palestina gaidi halafu mvamizi ndio kawa mtu mwema na wengi suala la ugaidi la hamas mnaongelea kama hamas ndio kaanisha october 7 mnajisahaulisha kuwa miaka zaidi 60 israel anawaua wapalestine anawakamata mpk watoto anawaweka jela hili kuwatisha waondoke katika ardhi wamiliki wao hila kwasababu mmeshalishwa maneno ya biblia kuwa ukiibaliki israel utabalikiwa basi hata wakifanya upuuzi ni ku support tu
 
Kama kuna watu wapumbavu basi wapalestina....
 
Sikupenda kujihusisha kwenye hu mjadara but kidogo maandishi yako yamenifikirisha; umesema kwama, "....ukiibariki Israeli utabarikiwa..?" Kwani Israeli kwao wapi?
Wavamizi wa maeneo duniani wapo wengi sana, sijui kwanini tunajikitaga kwa only Israeli Vs Palestinians. Hivi Waarabu wa Misri, Tunisia, Libya, Morocco nk nao wale pale ni kwao kweli? Si walivamia na kuua sana our fellow black people na then wakahamia na kupafanya hapo kua pao? What about USA? Wale Wazungu na wanao ongoza taifa lile are they the people of that country or nao waliua sana wenyeji?
 
Watu awaogopi kufa sembufe kifusi

waisrael kwasasa wameshagundua waliingizwa Chaka 1948 kupelekwa mitaaa ya wahuni wa Kiarabu

Dunia yote hi ya waoga unachaguaje kuishi kibabe mbele ya Waraabu

Mwarabu sio poaaa ndugu

MUNGU MKUU mwenyewe baada ya kumuumba pale mashariki ya kati ikabidi kumtumia wajumbe kadhaa wa kadhaa ili apoeee kidogo apate kuishi na Binadam wengine!!!!

Muisrael kajichanganya vibayaa sana

Vita vitakuwa vyamilele amina mwarabu pooo kwake mwiko kabisa..

SULUHU pekeee lazima waisrael watoke mbiooo ile mitaaa Ya wahuni SUGU zaid ya uhuni wao!!!!!!!!!
Mhuni kakutana na mhuni zaidi yake.
 
Sikupenda kujihusisha kwenye hu mjadara but kidogo maandishi yako yamenifikirisha; umesema kwama, "....ukiibariki Israeli utabarikiwa..?" Kwani Israeli kwao wapi?
Wavamizi wa maeneo duniani wapo wengi sana, sijui kwanini tunajikitaga kwa only Israeli Vs Palestinians. Hivi Waarabu wa Misri, Tunisia, Libya, Morocco nk nao wale pale ni kwao kweli? Si walivamia na kuua sana our fellow black people na then wakahamia na kupafanya hapo kua pao? What about USA? Wale Wazungu na wanao ongoza taifa lile are they the people of that country or nao waliua sana wenyeji?
Hao watu walishamezeshwa chuki dhidi ya Israel nao wakazifakamia bila kufikiria!!! Akili zao wa nazi jua wao wenyewe tu!!!
 
Back
Top Bottom