Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaio ISIS imeanzishwa na wayahudi sio??
Mkiua wayahudi, kosa la wayahudi.
Mkiuana nyie wenyew, kosa pia la wayahudi.
Ukidondosha simu, kosa la myahudi.
Ukichelewa kazini, kosa la myahudi.
Hawana dini namna gani wakati wanasema siku zote kwamba wao wanampigania mungu wao anayeitwa allah.Kwanini waua waislam wenzao?....hao magaidi huenda hawana dini.
Hawa wamechanganyikiwaNa hawa hata ndevu hawanazo wasikilize
Kwani biblia ipi imeandika ukristo ni dini?Hawana dini namna gani wakati wanasema siku zote kwamba wao wanampigania mungu wao anayeitwa allah.
Kwani hii ni mechi ya futboli?Chief Mbona unahamisha magoli??!
Ndevu zinachanganywa au bila ndevu ndio huchanganya ?Hawa wamechanganyikiwa
Umekimbia swali langu sio?!Kwani hii ni mechi ya futboli?
Tulia dawa ikuingie
Umeandika, Chief Mbona unahamisha magoli??!Umekimbia swali langu sio?!
Lisemwalo lipoOLD NEWS
Hizo ni siasa anatafuta kura, hata ungekuwa wewe ungemsema vibaya mpinzani wako, kumbuka Democratic na Republic wana tabia ya kudhalilishana kama CCM na chadema.
Umeandika, Chief Mbona unahamisha magoli??!
Nikakujibu
Kwani hii ni mechi ya futboli?
Nimekimbia wapi? Au umechanganyikiwa?
Ongeza dozi hii
View: https://www.youtube.com/watch?v=vCVdgu_wy9U
Kuna mkali anaitwa Ndacha,anatembea na kijiji cha Masheikh.
Muulize mazinge ilibidi akalie msikitini😂
Allah who akbar 🤣🤣🤣 yaani kika siku wanamuuliza Allah wao, who akbar lakini hawajibu.Na kila mara wakimwaga damu wanaimba allah akbar
Kwani dini ni nini..!Kwani biblia ipi imeandika ukristo ni dini?
Dogo mbona siku hizi una roho mbaya. Utashukuruje habari mbaya kama hii ya ugaidi na kifo. Sina imani kabisa shemeji yetu Mahondaw yuko salama.
Huyu dingi initially nilijua[ga] ni mweupe kichwani,full ujanja wa kutwist maandiko.
Aliuliza maswali hadi akaishiwa,akaanza uliza hadi vitu visivyo na maana et" kama Yesu alikufa ni wapi mariam(mama yake yesu)alipiga ukunga?"😂.
Muslim now wanamkwepa Ndacha kama ukuoma.
Ndacha,the Greatest preacher nimewai kumuona katika maisha yangu.