Magaidi wa ISIS wenye mlengo wa kiislamu wakiri ndio waliua kwenye msikiti Afghanistan

Maalim Ishaq Malima.. mazinge anazunguka na wasoma vitabu wake wenye majina ya ahmad,Salim etc..ni vijana aliowatoa Madrasa

Ila Ndacha wasoma vitabu wake sio wa kutoka Sunday school,wasomaji wake karibu wote ni akina akina abdul,Ahmed,salim.
Ni vijana waliowai pigwa supana za kutosha na ndacha ikabidi walivet.
Mazinge na uzee wote huo kulia ndani ya msikiti si jambo dogo.😂
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Hata wakibaki wenyewe dunia nzima bado watachinjana tu.

View: https://youtu.be/Y-H8ITS51IQ?si=fw_uz7NHJ1fKqQxD

images (1) (7) (1).jpeg
 
Magaidi wa ISIS wenye mlengo wa kiislamu wakiri ndio waliua kwenye msikiti wa waislamu kule Afghanistan
Vigumu sana kuelewa mlivyo nyie watu....kuuana ndio zenu. Halafu mnalia lia udini.

Islamic State claimed responsibility for an attack on Monday on a mosque in Western Herat province in Afghanistan, which killed at least five people, the group's Telegram channel said on Tuesday.

Poleni brazaj
Pambana na matatizo yako African man, waislam waarabu wanayakwao ..kwanini nchi zote za waafrika weusi zipo taabani? Ukiondoa Tunisia Algeria Moroco na za South zenye wazungu,upo hapa kila kukicha waislam tushakuchoka na chukizako..haya nenda kawatilie sumu Mombasa mbakie wakristo.
 
ISS

Taliban na Isis hawa WOTE si Sunni? Au Wana itikadi tofauti za kiimani?
MK254 nisaidie nipate kujua
ISIS they are not muslims ... Wema waliotangulia ambao ni masahaba na wanafunzi wa masahaba.. hawakuishi kwenye taratibu hizi .. ISIS wanaendeshwa na CIA na ndio maana all CIA dirty jobs wanafanya wao .. kama ile ya urusi
 
Allah who akbar
 
Ok
 
Naomba unijibu:

1. Kwa nini hao magaidi wa Isis wakubali kutumikia makafiri kufanya uovu wote huo kama kweli uislamu unapinga uovu huo.

2. Kwa nini Isis wenyewe hawakubali kwamba wanatumiwa na makafiri na badala yake wenyewe wanadai kumtumikia mungu wao anayeitwa allah.

3. Kwa nini hata siku moja waislam kote ulimwenguni hawajawahi kuandamana kulaani huu uovu unaofanywa na hivi vikundi vya kigaidi wakiwamo Isis.

4. Kama ni CIA ndio inawafadhili magaidi kwa nini basi wasiwatumie wakristo badala ya kuwatumia waislam na kwa nini hivi vikundi vyote vya kigaidi viwe vya waislam tu na sio dini zingine...⁉️⁉️⁉️
 
One word "politics"
 
Back
Top Bottom