Magaidi walioshambulia Urusi tayari washakamtwa

Sometimes account inaweza kuwa na bluetick au yellow tick na ikapost propagand
Unapambana sana kuwachomoa ISIS kwenye hicho kisa ili propaganda Putin zipate nafasi, bahati mbaya kwako ISIS wenyewe ndio wamekiri kufanya hilo tukio Moscow.
ISIS hawahusiki kabisa, uyo mwamba alokamtwa Ni raia wa tajikstan na kakiri mwenyewe
 
Isis Wana historia ya kukiri mashambulizi hata ambayo hata hawajahusika, rejea shambuliz la kigaidi turkey na Lile la Sept 11 kule USA
Wanajipa maujiko kwamba wako active sana.
 
Kwa mnaotumia twiiter,
Pitia profile ya uyo mwamba @maimunkanews,

Kuna video za kutosha khs hao magaidi waliokamatwa wakitoroka,

wakihojiwa,kichapo pamoja na kukiri kuhusika
 

Attachments

  • Screenshot_20240323-131855.png
    516.3 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240323-132121.png
    516.5 KB · Views: 2
Endelea kuamini ni ISIS nawengine acha waamini wanayosema urusi.
Urusi walipewa tahadhari na West, Putin akazipuuza na akasema hizo ni taarifa za kuzua taharuki tu kwa Urusi(hadi video iko mitandaoni), sasa unafikiri atakubali ni ISIS??
 
Naunga mkono hoja
 
Marekani haijawahi tishiwa na Urusi hata siku moja. Hata USSR ilikuwa ni jino kwa jino sio kujikunyata mikono.

Hii dhana ya kudhani kila kinachotokea Urusi sababu ni Marekani ni visingizio uchwara. Marekani imepata mashambulizi ya kigaidi kadhaa huwezi sikia wanakurupuka hapohapo kabla ya uchunguzi kuitaja Urusi.
Hata Prigozhin alipoasi mlidai katumwa na Marekani. Urusi ina internal affairs nyingi za kwake yenyewe, na aliyempa sumu mpinzani Navalny mtasema katumwa na Marekani.

Putin kushinda kwa zaidi ya 80% sio shida kwa yeyote duniani. Kaua wapinzani haijawa shida sembuse kushinda Urais. Hata asingeshinda yeye kwamba Urusi ingekufa, kwamba akifa Putin leo basi ni mwisho wa Urusi? Warusi ni wale wale angekuwepo mwingine naye angekuwa almost kama Putin. Ni tabia ya kijamii sio ya individual.
 
Isis Wana historia ya kukiri mashambulizi hata ambayo hata hawajahusika, rejea shambuliz la kigaidi turkey na Lile la Sept 11 kule USA
Labda wanalipwa hela ndefu kutangaza sio bure
Isis ni kundi la nchi kubwa sana lenye nguvu na wapo kutuvuruga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…