Ina fuatana ame ua kwa lengo lipi.Yaani Commando aingie Moscow akijua ulinzi wake ulivyo afanikiwe kutoroka eneo la Tukio mpaka asubiri kukamatwa na FSB? Muda wote huo akijua kwamba hao FSB watamuokoa au??
Unaingia Moscow kufanya tukio ukijua chance of survival ni 50/50 na ukakaribia kukamatwa unajipa pistol kichwani.
Mtu anayeua watu hawezi kusubiri akamatwe
Hata wewe ukipanda gari kutoka Dar kwenda Iringa unaweza kukamatiwa Morogoro wakasema ulikuwa unakimbilia Zambia au Malawi.Sasa mbona walikuwa wana kimbilia Ukraine?
Wewe jiulize kama kushambulia kwa nini wasingeenda kushambulia Israel kwa anayoyafanya Gaza?Nimesoma taarifa eti Isis wanadai "walipanga kushambulia mkusanyiko wa wakristo"
Jamani waislamu wapo kweny Ramadan hawa wanatokea wapi😅😅😅...Ishu za kupangwa hizi nahisi dunia itajua ukweli wote wale jamaa sio waislamu
Pole yake. Ana kazi nzito muda sio mrefuGaidi mmoja wapo aliekamtwa huyu hapa, USHAURI KWAKE TAFADHALI wakuu😊🙏
Wamenishangaza.Yaani Commando aingie Moscow akijua ulinzi wake ulivyo afanikiwe kutoroka eneo la Tukio mpaka asubiri kukamatwa na FSB? Muda wote huo akijua kwamba hao FSB watamuokoa au??
Unaingia Moscow kufanya tukio ukijua chance of survival ni 50/50 na ukakaribia kukamatwa unajipa pistol kichwani.
Mtu anayeua watu hawezi kusubiri akamatwe
Ha ha ha.......hatari Sana mkuuKama hujawahi ona mpira wa miguu football ukienea kwenye utumbo Mpana wa binadam ndo kipindi hiki, kiukweli hao mabwana watavunjwavunjwa na hata wakifika peponi hawatokuwa na uwezo wa kusimamisha mikuyenge hivyo ma'bikra 72 wataishia kuwatizama tu
Hiyo ni kwa mujibu wao wenyewe walio kamatwa.Hata wewe ukipanda gari kutoka Dar kwenda Iringa unaweza kukamatiwa Morogoro wakasema ulikuwa unakimbilia Zambia au Malawi.
Hawwa jamaa wanaweza hata wakatoa taarifa za uongo kujifuta aibu. Kwani hakuna anayeweza kuthibitisha taarifa hizo.
Wamwisho kukamatwa wamemkuta na majeraha, alinusurika kuuwawa na fox wa msituni wkt akikimbia asikamatweYani mda huo huo kaaminywa na mda huo huo ameshakili? Unadhani hao ni polosi wa kibongo kwamba haoniwe hadharani akili hapo hapo,
Haya magaidi yamewashika pabaya wafuasi wa putin, Kibaya zaidi yamepiga tukio down town yakasepa mpaka yakajikamatisha vijijini huko
Ndio maana nawaza kuwa hao jamaa wenye uwezo wa Kuingia Moscow wakatimba Tukio Mchana kweupe sio watu wadogo washindwe kutumia mbinu kali. Ona hata wewe usie na intel unawakosoa sembuse wao?Walichojichanganya hao magaidi Ni kutumia the same car kuingia na kutoroka eneo la tukio, nusu saa TU baada ya gari waliyotumia white sedan rhenault ilishanaswa na camera zote mjini na ishawekwa kwenye vyombo vya habari na kuanza kufuatiliwa
Walichojifanya FSB Ni kuweka roadblock nchi nzima na jamaa wamekamatwa saa 7 za usiku,
Wengine wamenaswa saa 9 alfajir
Kisha wengine saa mbil asbuh
Hizo porojo tu, magaidi waliouwa watu wengi hivyo hawawezi kuwa na akili ndogo hivyo kama mnavyoaminishwa na serikali ya Ruzzia.Walichojichanganya hao magaidi Ni kutumia the same car kuingia na kutoroka eneo la tukio, nusu saa TU baada ya gari waliyotumia white sedan rhenault ilishanaswa na camera zote mjini na ishawekwa kwenye vyombo vya habari na kuanza kufuatiliwa
Walichojifanya FSB Ni kuweka roadblock nchi nzima na jamaa wamekamatwa saa 7 za usiku,
Wengine wamenaswa saa 9 alfajir
Kisha wengine saa mbil asbuh
Eti FSB inakamata watuhumiwa kwenye tukio kubwa namna hiyo ndani ya 24 hrs wana publish security interrogation.Hizo porojo tu, magaidi waliouwa watu wengi hivyo hawawezi kuwa na akili ndogo hivyo kama mnavyoaminishwa na serikali ya Ruzzia.