Magaidi walioshambulia Urusi tayari washakamtwa

Yaani Commando aingie Moscow akijua ulinzi wake ulivyo afanikiwe kutoroka eneo la Tukio mpaka asubiri kukamatwa na FSB? Muda wote huo akijua kwamba hao FSB watamuokoa au??

Unaingia Moscow kufanya tukio ukijua chance of survival ni 50/50 na ukakaribia kukamatwa unajipa pistol kichwani.

Mtu anayeua watu hawezi kusubiri akamatwe
Ina fuatana ame ua kwa lengo lipi.
 
Kwa Vile Urusi ana maadui wengi na wakubwa kwa sasa naamini watafanya uchunguzi kwa kina nani tupo nyuma ya huo mango kabla hao magaidi hawajapelekwa kwa Sir God.
 
Sasa mbona walikuwa wana kimbilia Ukraine?
Hata wewe ukipanda gari kutoka Dar kwenda Iringa unaweza kukamatiwa Morogoro wakasema ulikuwa unakimbilia Zambia au Malawi.
 
Nimesoma taarifa eti Isis wanadai "walipanga kushambulia mkusanyiko wa wakristo"

Jamani waislamu wapo kweny Ramadan hawa wanatokea wapi😅😅😅...Ishu za kupangwa hizi nahisi dunia itajua ukweli wote wale jamaa sio waislamu
Wewe jiulize kama kushambulia kwa nini wasingeenda kushambulia Israel kwa anayoyafanya Gaza?
 
Kama hujawahi ona mpira wa miguu football ukienea kwenye utumbo Mpana wa binadam ndo kipindi hiki, kiukweli hao mabwana watavunjwavunjwa na hata wakifika peponi hawatokuwa na uwezo wa kusimamisha mikuyenge hivyo ma'bikra 72 wataishia kuwatizama tu
 
Yaani Commando aingie Moscow akijua ulinzi wake ulivyo afanikiwe kutoroka eneo la Tukio mpaka asubiri kukamatwa na FSB? Muda wote huo akijua kwamba hao FSB watamuokoa au??

Unaingia Moscow kufanya tukio ukijua chance of survival ni 50/50 na ukakaribia kukamatwa unajipa pistol kichwani.

Mtu anayeua watu hawezi kusubiri akamatwe
Wamenishangaza.
 
Putin Yuko live RT na megatron,
Anazungumzia ugaid ulotokea jana
 
Attachments

  • Screenshot_20240323-165936.png
    Screenshot_20240323-165936.png
    348.4 KB · Views: 2
Kama hujawahi ona mpira wa miguu football ukienea kwenye utumbo Mpana wa binadam ndo kipindi hiki, kiukweli hao mabwana watavunjwavunjwa na hata wakifika peponi hawatokuwa na uwezo wa kusimamisha mikuyenge hivyo ma'bikra 72 wataishia kuwatizama tu
Ha ha ha.......hatari Sana mkuu
 
Baadae ya kufinywa,Gaid mmoja kasema waliahidiwa pesa rubo 500,000 KILA mmoja baada ya kutekeleza tukio.

Nb: nijuavyo Mimi, isis hawajawai kuua kwa ajili ya pesa
 
Attachments

  • Screenshot_20240323-164323.png
    Screenshot_20240323-164323.png
    738.3 KB · Views: 2
Hata wewe ukipanda gari kutoka Dar kwenda Iringa unaweza kukamatiwa Morogoro wakasema ulikuwa unakimbilia Zambia au Malawi.
Hiyo ni kwa mujibu wao wenyewe walio kamatwa.
 
Walichojichanganya hao magaidi Ni kutumia the same car kuingia na kutoroka eneo la tukio, nusu saa TU baada ya gari waliyotumia white sedan rhenault ilishanaswa na camera zote mjini na ishawekwa kwenye vyombo vya habari na kuanza kufuatiliwa

Walichojifanya FSB Ni kuweka roadblock nchi nzima na jamaa wamekamatwa saa 7 za usiku,

Wengine wamenaswa saa 9 alfajir

Kisha wengine saa mbil asbuh
Hawwa jamaa wanaweza hata wakatoa taarifa za uongo kujifuta aibu. Kwani hakuna anayeweza kuthibitisha taarifa hizo.
 
Yani mda huo huo kaaminywa na mda huo huo ameshakili? Unadhani hao ni polosi wa kibongo kwamba haoniwe hadharani akili hapo hapo,

Haya magaidi yamewashika pabaya wafuasi wa putin, Kibaya zaidi yamepiga tukio down town yakasepa mpaka yakajikamatisha vijijini huko
Wamwisho kukamatwa wamemkuta na majeraha, alinusurika kuuwawa na fox wa msituni wkt akikimbia asikamatwe
 
Walichojichanganya hao magaidi Ni kutumia the same car kuingia na kutoroka eneo la tukio, nusu saa TU baada ya gari waliyotumia white sedan rhenault ilishanaswa na camera zote mjini na ishawekwa kwenye vyombo vya habari na kuanza kufuatiliwa

Walichojifanya FSB Ni kuweka roadblock nchi nzima na jamaa wamekamatwa saa 7 za usiku,

Wengine wamenaswa saa 9 alfajir

Kisha wengine saa mbil asbuh
Ndio maana nawaza kuwa hao jamaa wenye uwezo wa Kuingia Moscow wakatimba Tukio Mchana kweupe sio watu wadogo washindwe kutumia mbinu kali. Ona hata wewe usie na intel unawakosoa sembuse wao?
 
Walichojichanganya hao magaidi Ni kutumia the same car kuingia na kutoroka eneo la tukio, nusu saa TU baada ya gari waliyotumia white sedan rhenault ilishanaswa na camera zote mjini na ishawekwa kwenye vyombo vya habari na kuanza kufuatiliwa

Walichojifanya FSB Ni kuweka roadblock nchi nzima na jamaa wamekamatwa saa 7 za usiku,

Wengine wamenaswa saa 9 alfajir

Kisha wengine saa mbil asbuh
Hizo porojo tu, magaidi waliouwa watu wengi hivyo hawawezi kuwa na akili ndogo hivyo kama mnavyoaminishwa na serikali ya Ruzzia.
 
Eti FSB inakamata watuhumiwa kwenye tukio kubwa namna hiyo ndani ya 24 hrs wana publish security interrogation.

Hahahaa..... Hapa tunachezewa akili

Kama ile movie ya Prigozhin
 
Back
Top Bottom