Magaidi wenye mlengo wa kiislamu wachinja watu 22 Nigeria

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Waafrika wanachinja Waafrika wenzao kisa uislamu, wanaendelea kuchinja kwa kwenda mbele, wana hasira hata kuzidi muarabu mwenye dini yake......

===========================

Suspected Islamist militants killed at least 22 people and wounded several others in two separate attacks over the weekend in northeastern Nigeria, residents and police said, the latest incidents in a region plagued by armed violence.

Nigeria has been grappling with a long-running insurgency in its northeast region, primarily driven by the Islamist armed group Boko Haram and its offshoot, Islamic State West Africa Province.
 
Mbona huwa hamsemagi magaidi wa kikristo. Ina maana magaidi ni waislamu tu? Wakristo wakiua wenzao kama mausji yanayotokeaga huko US kwa watu kuua wengine kwa silaha utasikia wanamuita shooter.. ila muislamu akifanya uhalifu kama huo utasikia terrorist!
Nyie mtakuwa mmelogwa si bure
 
Kumbuka hata muanzilishi wa uislamu mohammad mwenyewe alisababisha mauaji ya Wayahudi na kuuza watoto wao utumwani. Huo ulikua ugaidi haswa, hata kama alikua na sababu zake kuchinja Wayahudi, sasa mbona auze watoto wakawe watumwa, leo hii mnaendeleza hayo maugaidi yake.

Wale wa USA wanaua bila kutaja Mungu au Yesu, hivyo ni watu wenye matatizo ya kiakili, ila hawa magaidi wa waislamu wanachinja huku wakiita allah akbar.
 
Huwezi tenganisha uislamu na uuaji. Mohammad aliua watu, wale alioanzisha nao hiyo dini pia waliua.

Mi husikitika sana kuona waafrika wanauana kisa dini za kuja, hasa toka kwa hawa waarabu.
 
Kitu kidogo kama hiki huwezi kuelewa basi tatizo ni kubwa mno kwa watu wetu. Ni kweli wapo waislamu na Wakristo wanao ua watu sehemu nyingi tu. Majambazi, mapenzi au hata biashara na kazi, mfano yule Msomali wa mwaka juzi aliye ua police kadhaa pale Upanga nk, huwezi kuhusisha mauaji yale na dini ya muhusika, yule jamaa alikua anaua police bila kujali dini ya victims wake. Kwenye hili, "KIKUNDI" na target ni watu wa dini fulani ndio victims wao, bado huoni kosa hapo mkuu?
 
Mbona huwa hamsemagi magaidi wa kikristo. Ina maana magaidi ni waislamu tu? Wakristo wakiua wenzao kama mausji yanayotokeaga huko US kwa watu kuua wengine kwa silaha utasikia wanamuita shooter.. ila muislamu akifanya uhalifu kama huo utasikia terrorist!
Nyie mtakuwa mmelogwa si bure
1000266227.png
 
Waafrika wanachinja Waafrika wenzao kisa uislamu, wanaendelea kuchinja kwa kwenda mbele, wana hasira hata kuzidi muarabu mwenye dini yake......

===========================

Suspected Islamist militants killed at least 22 people and wounded several others in two separate attacks over the weekend in northeastern Nigeria, residents and police said, the latest incidents in a region plagued by armed violence.

Nigeria has been grappling with a long-running insurgency in its northeast region, primarily driven by the Islamist armed group Boko Haram and its offshoot, Islamic State West Africa Province.

Waafrika wanachinja Waafrika wenzao kisa uislamu, wanaendelea kuchinja kwa kwenda mbele, wana hasira hata kuzidi muarabu mwenye dini yake......

===========================

Suspected Islamist militants killed at least 22 people and wounded several others in two separate attacks over the weekend in northeastern Nigeria, residents and police said, the latest incidents in a region plagued by armed violence.

Nigeria has been grappling with a long-running insurgency in its northeast region, primarily driven by the Islamist armed group Boko Haram and its offshoot, Islamic State West Africa Province.
IMG_20250405_022204_957.jpg
 
Huwezi tenganisha uislamu na uuaji. Mohammad aliua watu, wale alioanzisha nao hiyo dini pia waliua.

Mi husikitika sana kuona waafrika wanauana kisa dini za kuja, hasa toka kwa hawa waarabu.

Kabla ya kumsema Muhammad SAW huku mitandaoni kwa nini usitafute vitabu hata ukamsoma ukajua tabia yake ilikuwaje? Nakuapia kwa jina la Mwenyezi Mungu utakapoamua kuusoma uislamu na kumjua vizuri Mtume Muhammad SAW utajikuta unajutia haya matamshi yako.

Muhammad SAW ni mtu mwema sana yani sana kupita kiasi. Basi tu ndugu zetu mmelishwa matango pori na western media na nyie mkaziamini bila hata kufanya uchunguzi.
Mimi nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akuongoze uutafute ukweli mwenyewe kwa macho yako usiwasikilize watu
 
Mbona huwa hamsemagi magaidi wa kikristo. Ina maana magaidi ni waislamu tu? Wakristo wakiua wenzao kama mausji yanayotokeaga huko US kwa watu kuua wengine kwa silaha utasikia wanamuita shooter.. ila muislamu akifanya uhalifu kama huo utasikia terrorist!
Nyie mtakuwa mmelogwa si bure
Labda ungetusaidia kutuelezea maana ya "UGAIDI".
 
Kumbuka hata muanzilishi wa uislamu mohammad mwenyewe alisababisha mauaji ya Wayahudi na kuuza watoto wao utumwani. Huo ulikua ugaidi haswa, hata kama alikua na sababu zake kuchinja Wayahudi, sasa mbona auze watoto wakawe watumwa, leo hii mnaendeleza hayo maugaidi yake.

Wale wa USA wanaua bila kutaja Mungu au Yesu, hivyo ni watu wenye matatizo ya kiakili, ila hawa magaidi wa waislamu wanachinja huku wakiita allah akbar.

Sawa wewe amini unachoamini, watu tumekushauri weeee hapa JF lakini you have never changed your mind kwa usilamu wala kwa Mtume Muhammad SAW. Hiyo chuki yako imepita kiasi.

Lakini ikiwa Mwenyezi Mungu amemwacha mtu akapotea basi sisi ni nani hadi tukamuongoza? Wewe njia yako ni njia ya motoni na unaipigania kweli kweli. Nakutakia kila la heri katika njia hiyo uliyo jichagulia mwenyewe
 
Hii kuita magaidi waislam huwa hamuitendei haki dini yenyewe ni bora kuwatambua kwa nchi zao au makabila yao

Kama wale wa Mbeya waliokuwa wanaweza kumchuna ngozi mtu akiwa hai
 
Labda ungetusaidia kutuelezea maana ya "UGAIDI".

Sisi hatujui maana yake, labda nyie mnaowaita waislamu ni magaidi ndio mtuambie maana yake. Tunashangaa tu kuona neno hilo linatumika kwa waislamu tu, ijapokuwa hata wakristo wengi wanafanya maasi na mauaji lakini hutasikia wao wakiitwa magaidi
 
Back
Top Bottom