Magaidi wenye mlengo wa kiislamu wachinja watu 22 Nigeria

Kabla ya kumsema Muhammad SAW huku mitandaoni kwa nini usitafute vitabu hata ukamsoma ukajua tabia yake ilikuwaje? Nakuapia kwa jina la Mwenyezi Mungu utakapoamua kuusoma uislamu na kumjua vizuri Mtume Muhammad SAW utajikuta unajutia haya matamshi yako.

Muhammad SAW ni mtu mwema sana yani sana kupita kiasi. Basi tu ndugu zetu mmelishwa matango pori na western media na nyie mkaziamini bila hata kufanya uchunguzi.
Mimi nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akuongoze uutafute ukweli mwenyewe kwa macho yako usiwasikilize watu
Futa kwanza huo ujinga wako wa kumwita binadam mwenzio kama Muhammad kuwa ni mtu mwema

Mwema ni MWENYEZI MUNGU pekee na KRISTO YESU mwanae aliye mtuma
 
Kabla ya kumsema Muhammad SAW huku mitandaoni kwa nini usitafute vitabu hata ukamsoma ukajua tabia yake ilikuwaje? Nakuapia kwa jina la Mwenyezi Mungu utakapoamua kuusoma uislamu na kumjua vizuri Mtume Muhammad SAW utajikuta unajutia haya matamshi yako.

Muhammad SAW ni mtu mwema sana yani sana kupita kiasi. Basi tu ndugu zetu mmelishwa matango pori na western media na nyie mkaziamini bila hata kufanya uchunguzi.
Mimi nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akuongoze uutafute ukweli mwenyewe kwa macho yako usiwasikilize watu

Nilimtafiti nikasoma alikuwa katili aliua Wayahudi wa Qurayza na kuuza watoto wao utumwani wakaenda kuwa mateka, sawa hata kama alikuwa na sababu zake kuchinja Wayahudi ila mbona auze watoto wakawe watumwa.
Pia alikuwa anachafua kingono katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa, hadi napata kichefu chefu Cha kutaka kutapika.
 
Sawa wewe amini unachoamini, watu tumekushauri weeee hapa JF lakini you have never changed your mind kwa usilamu wala kwa Mtume Muhammad SAW. Hiyo chuki yako imepita kiasi.

Lakini ikiwa Mwenyezi Mungu amemwacha mtu akapotea basi sisi ni nani hadi tukamuongoza? Wewe njia yako ni njia ya motoni na unaipigania kweli kweli. Nakutakia kila la heri katika njia hiyo uliyo jichagulia mwenyewe

Mimi nasoma mauchafu yake kwenye vitabu vyenu wenyewe, Sasa unaposema unashauri mbona usishauri muondoe hayo mauchafu ya huyo muarabu kwenye vitabu vyenu, maana huko ndiko chimbuko la haya maugaidi.
 
Hii kuita magaidi waislam huwa hamuitendei haki dini yenyewe ni bora kuwatambua kwa nchi zao au makabila yao

Kama wale wa Mbeya waliokuwa wanaweza kumchuna ngozi mtu akiwa hai

Wenyewe wanajitambulisha na dini ya uislamu Sasa unataka tuwalazimishie majina ambayo hawayataki, mfano wale wa Dola la kiislamu ISIS ndio jina wamejiita, hivyo sisi tuwaite nini, na pia hauwezi ukasema makabila yao maana wanatokea makabila tofauti na kuunganishwa na uislamu halafu wanafanya huo ugaidi.
Mohammad mwenyewe alianza ugaidi kwa kuchinja Wayahudi wa Qurayza na kuuza watoto wao utumwani.
 
Kabla ya kumsema Muhammad SAW huku mitandaoni kwa nini usitafute vitabu hata ukamsoma ukajua tabia yake ilikuwaje? Nakuapia kwa jina la Mwenyezi Mungu utakapoamua kuusoma uislamu na kumjua vizuri Mtume Muhammad SAW utajikuta unajutia haya matamshi yako.

Muhammad SAW ni mtu mwema sana yani sana kupita kiasi. Basi tu ndugu zetu mmelishwa matango pori na western media na nyie mkaziamini bila hata kufanya uchunguzi.
Mimi nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akuongoze uutafute ukweli mwenyewe kwa macho yako usiwasikilize watu
Mohammad ana mazuri yake, na madhaifu yake pia. Tatizo ninyi ndugu zetu mnamuona huyo muarabu kama hakuwa na madhaifu.. mnafumbia macho madhaifu yake.
Mimi nimejitahidi kusoma mambo yanahusu uislamu na Muddy. Nimejionea mambo mengi ya ajabu aliyotenda muddy na watu wake na kuhitimisha kwamba si mtu wa kuigwa.
 
Wenyewe wanajitambulisha na dini ya uislamu Sasa unataka tuwalazimishie majina ambayo hawayataki, mfano wale wa Dola la kiislamu ISIS ndio jina wamejiita, hivyo sisi tuwaite nini, na pia hauwezi ukasema makabila yao maana wanatokea makabila tofauti na kuunganishwa na uislamu halafu wanafanya huo ugaidi.
Mohammad mwenyewe alianza ugaidi kwa kuchinja Wayahudi wa Qurayza na kuuza watoto wao utumwani.
Hili la Mtume na biashara ya utumwa sina hakika nalo ila kama unaandika ukiwa na panic nakushauri kunywa maji mengi

Kwa chuki na vita inayosingiziwa Uislam ingekuwa amefanya biashara hiyo angekuwa ameanikwa muda mrefu sana

Lakini katika upeo wangu huu wa kufundishwa na walimu wa UPE sijawahi kuona wala kusoma popote hiki ulichoandika
 
Naihama rasmi hii Dini:
Nimeongopewa sana kuwa ni Dini ya haki kumbe ni kinyume chake:
 
Back
Top Bottom