Mbona huwa hamsemagi magaidi wa kikristo. Ina maana magaidi ni waislamu tu? Wakristo wakiua wenzao kama mausji yanayotokeaga huko US kwa watu kuua wengine kwa silaha utasikia wanamuita shooter.. ila muislamu akifanya uhalifu kama huo utasikia terrorist!
Nyie mtakuwa mmelogwa si bure
Wanachinja watu huku wanaimba "Allahu Akbar"🤣🤣🤣 Napenda sana hizi
Kitu kidogo kama hiki huwezi kuelewa basi tatizo ni kubwa mno kwa watu wetu. Ni kweli wapo waislamu na Wakristo wanao ua watu sehemu nyingi tu. Majambazi, mapenzi au hata biashara na kazi, mfano yule Msomali wa mwaka juzi aliye ua police kadhaa pale Upanga nk, huwezi kuhusisha mauaji yale na dini ya muhusika, yule jamaa alikua anaua police bila kujali dini ya victims wake. Kwenye hili, "KIKUNDI" na target ni watu wa dini fulani ndio victims wao, bado huoni kosa hapo mkuu?Mbona huwa hamsemagi magaidi wa kikristo. Ina maana magaidi ni waislamu tu? Wakristo wakiua wenzao kama mausji yanayotokeaga huko US kwa watu kuua wengine kwa silaha utasikia wanamuita shooter.. ila muislamu akifanya uhalifu kama huo utasikia terrorist!
Nyie mtakuwa mmelogwa si bure
Mbona huwa hamsemagi magaidi wa kikristo. Ina maana magaidi ni waislamu tu? Wakristo wakiua wenzao kama mausji yanayotokeaga huko US kwa watu kuua wengine kwa silaha utasikia wanamuita shooter.. ila muislamu akifanya uhalifu kama huo utasikia terrorist!
Nyie mtakuwa mmelogwa si bure
Waafrika wanachinja Waafrika wenzao kisa uislamu, wanaendelea kuchinja kwa kwenda mbele, wana hasira hata kuzidi muarabu mwenye dini yake......
===========================
Suspected Islamist militants killed at least 22 people and wounded several others in two separate attacks over the weekend in northeastern Nigeria, residents and police said, the latest incidents in a region plagued by armed violence.
Nigeria has been grappling with a long-running insurgency in its northeast region, primarily driven by the Islamist armed group Boko Haram and its offshoot, Islamic State West Africa Province.

Huwezi tenganisha uislamu na uuaji. Mohammad aliua watu, wale alioanzisha nao hiyo dini pia waliua.
Mi husikitika sana kuona waafrika wanauana kisa dini za kuja, hasa toka kwa hawa waarabu.
Labda ungetusaidia kutuelezea maana ya "UGAIDI".Mbona huwa hamsemagi magaidi wa kikristo. Ina maana magaidi ni waislamu tu? Wakristo wakiua wenzao kama mausji yanayotokeaga huko US kwa watu kuua wengine kwa silaha utasikia wanamuita shooter.. ila muislamu akifanya uhalifu kama huo utasikia terrorist!
Nyie mtakuwa mmelogwa si bure
Kumbuka hata muanzilishi wa uislamu mohammad mwenyewe alisababisha mauaji ya Wayahudi na kuuza watoto wao utumwani. Huo ulikua ugaidi haswa, hata kama alikua na sababu zake kuchinja Wayahudi, sasa mbona auze watoto wakawe watumwa, leo hii mnaendeleza hayo maugaidi yake.
Wale wa USA wanaua bila kutaja Mungu au Yesu, hivyo ni watu wenye matatizo ya kiakili, ila hawa magaidi wa waislamu wanachinja huku wakiita allah akbar.
Labda ungetusaidia kutuelezea maana ya "UGAIDI".