Futa kwanza huo ujinga wako wa kumwita binadam mwenzio kama Muhammad kuwa ni mtu mwemaKabla ya kumsema Muhammad SAW huku mitandaoni kwa nini usitafute vitabu hata ukamsoma ukajua tabia yake ilikuwaje? Nakuapia kwa jina la Mwenyezi Mungu utakapoamua kuusoma uislamu na kumjua vizuri Mtume Muhammad SAW utajikuta unajutia haya matamshi yako.
Muhammad SAW ni mtu mwema sana yani sana kupita kiasi. Basi tu ndugu zetu mmelishwa matango pori na western media na nyie mkaziamini bila hata kufanya uchunguzi.
Mimi nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akuongoze uutafute ukweli mwenyewe kwa macho yako usiwasikilize watu
Kabla ya kumsema Muhammad SAW huku mitandaoni kwa nini usitafute vitabu hata ukamsoma ukajua tabia yake ilikuwaje? Nakuapia kwa jina la Mwenyezi Mungu utakapoamua kuusoma uislamu na kumjua vizuri Mtume Muhammad SAW utajikuta unajutia haya matamshi yako.
Muhammad SAW ni mtu mwema sana yani sana kupita kiasi. Basi tu ndugu zetu mmelishwa matango pori na western media na nyie mkaziamini bila hata kufanya uchunguzi.
Mimi nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akuongoze uutafute ukweli mwenyewe kwa macho yako usiwasikilize watu
Sawa wewe amini unachoamini, watu tumekushauri weeee hapa JF lakini you have never changed your mind kwa usilamu wala kwa Mtume Muhammad SAW. Hiyo chuki yako imepita kiasi.
Lakini ikiwa Mwenyezi Mungu amemwacha mtu akapotea basi sisi ni nani hadi tukamuongoza? Wewe njia yako ni njia ya motoni na unaipigania kweli kweli. Nakutakia kila la heri katika njia hiyo uliyo jichagulia mwenyewe
Hii kuita magaidi waislam huwa hamuitendei haki dini yenyewe ni bora kuwatambua kwa nchi zao au makabila yao
Kama wale wa Mbeya waliokuwa wanaweza kumchuna ngozi mtu akiwa hai
Mohammad ana mazuri yake, na madhaifu yake pia. Tatizo ninyi ndugu zetu mnamuona huyo muarabu kama hakuwa na madhaifu.. mnafumbia macho madhaifu yake.Kabla ya kumsema Muhammad SAW huku mitandaoni kwa nini usitafute vitabu hata ukamsoma ukajua tabia yake ilikuwaje? Nakuapia kwa jina la Mwenyezi Mungu utakapoamua kuusoma uislamu na kumjua vizuri Mtume Muhammad SAW utajikuta unajutia haya matamshi yako.
Muhammad SAW ni mtu mwema sana yani sana kupita kiasi. Basi tu ndugu zetu mmelishwa matango pori na western media na nyie mkaziamini bila hata kufanya uchunguzi.
Mimi nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akuongoze uutafute ukweli mwenyewe kwa macho yako usiwasikilize watu
Hili la Mtume na biashara ya utumwa sina hakika nalo ila kama unaandika ukiwa na panic nakushauri kunywa maji mengiWenyewe wanajitambulisha na dini ya uislamu Sasa unataka tuwalazimishie majina ambayo hawayataki, mfano wale wa Dola la kiislamu ISIS ndio jina wamejiita, hivyo sisi tuwaite nini, na pia hauwezi ukasema makabila yao maana wanatokea makabila tofauti na kuunganishwa na uislamu halafu wanafanya huo ugaidi.
Mohammad mwenyewe alianza ugaidi kwa kuchinja Wayahudi wa Qurayza na kuuza watoto wao utumwani.
Ni lazima wamuimbe shetani unategemea nini.Wanachinja watu huku wanaimba "Allahu Akbar"