Magaidi zaidi ya 41 wakamatwa huko Bahrain kwa tuhuma za kuisaidia iran

Magaidi zaidi ya 41 wakamatwa huko Bahrain kwa tuhuma za kuisaidia iran

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Bahrain iliwakamata watu 41 waliohusishwa na Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu cha Iran, baada ya uchunguzi wa usalama kubaini shirika lililohusiana na IRGC na itikadi ya Wilayat al-Faqih.

Kesi hizo zilihusisha mawasiliano na vyombo vya kigeni, shughuli zinazohusiana na ujasusi na usemi wa kuunga mkono mashambulizi ya Iran.

Sligo zao ni halali sasa kukatwa kwa uhalifu walioufanya kwa niaba ya magaidi wenzao wa iran
 

Attachments

  • IMG_20260510_074659_448.jpg
    IMG_20260510_074659_448.jpg
    154.8 KB · Views: 18
Kuna siku nilitaka kusema au kuandika kwamba Iranian inakosea kwa kulenga zaidi BASE za Marekani

Wkt ichi vibalaka viongozi wao wanalala usingizi wkt viongozi wa Iranian wanalala kwa tabu!!

Nikataka kusema kwann Iranian isiwapelekeee MOTO yani unachapa Base za Marekani na Unachapa Viongozi vibalaka waliotoa imaya ya kuwekwa Base za Adui kwenye Nchi zao,,

lkn nimegundua Iranian niwatu wenye akili sana!!!

kwasasa wamewaacha ili kuwachunguza yupi japo kidogo kapata akili baada ya kuona sekeseke kwenye Base za Marekani

sasa wale Vibalaka wataojifanya msg hawajapata phase 2 ya Vita watafanyiwa kitu kinaitwa sirudiiiiiii tn !!

kutoka apo lazima wapigane kibuti phase 3 Tawala zao zinaangushwa zote!!!
 
Back
Top Bottom