Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 5,319
- 10,416
Lakini pia, wengi wetu tunaendekeza sana umasikini. hata wanaopata misamaha ya kodi, bado wanapambana na 2010Wazambia na Wamalawi wanaona kama tumerogwa kutokupenda magari mazuri na magari yao mazuri mengi yanapita hapa kumbe sisi mchawi wetu ni TRA ndio maana leo hii tunazungumzia gari za mwaka 2000.