Magari ambayo unaweza kuendesha miaka 15 bila shida kubwa

Magari ambayo unaweza kuendesha miaka 15 bila shida kubwa

View attachment 3166322
Mwamba toyota hilux jino 1 tu baada ya kulala hapo miaka kibao,kaka Extrovert una lipi la kuwaambia wagermany wa jf?
Gari nyingi zikiwa umepaki bila tatizo lolote wewe tafuta betri tu iwashe unaondoka sio Hilux pekee ndio ipo hivyo kwa sisi tulionunua magari Mpumalanga hizo mambo ni kawaida sana iwe Ford,Toyota mtu aliepaki bila shida unaenda na betri yako tu na mafuta..
 
Gari lo lote kishapitwa na wakati huwa linasifiwa kuwa ni gumu na linadum

Akili za kimaskini kabisa hizo.

Ni umaskini tu ila gari sio la kufunga nalo ndoa ukijaaliwa kipato vunja kamata linaloenda na wakati hata kuvunja huwazi hii wataithaminisha kwa bei gani coz wanajua litauzika tu.
 
Gari nyingi zikiwa umepaki bila tatizo lolote wewe tafuta betri tu iwashe unaondoka sio Hilux pekee ndio ipo hivyo kwa sisi tulionunua magari Mpumalanga hizo mambo ni kawaida sana iwe Ford,Toyota mtu aliepaki bila shida unaenda na betri yako tu na mafuta..
Umeiona hiyo gari sehemu iliyopaki?
 
Kwa kweli kwangu the best ni corona premio old yenye 7a-fe engen namba b nimenunua Toka 2009 mpaka sasa ninayo mwaka wa 15 sijagusa chochote ndani ya engen zaidi ya plug Ina kilomita laki mbili na 68 imeanza kupunguza oil na nguvu Bado nyingi hata premio ya kisasa ufanye kazi kunikimbiza kwangu ni the best na nimeshaiandikia mirathi kabisa nadhani nitakufa nayo
 
MwanaJF,

Naomba tujadili magari magumu zaidi kwa mazingira ya Tanzania. Magari ambayo unaweza ukaendesha zaidi ya miaka 15+ bila shida kubwa kubwa. Services za kawaida na replacement ndogo ndogo.
Kwa uzoef wangu naona yafuatayo

1. Toyota Carina Ti
2. Rav 4 old model
3. Suzuki Escudo
4. Toyota Hilux
5. Land Rover Defender 110

Naomba tuendeleze list
Discover old model, nisan safari. Nisan patrol land crusel hard top
 
Toyota zina roho ya paka
Kiukweli ni umasikini tuu, ila European cars (read Germany 🇩🇪), are some of the most comfortable cars nimewahi endesha.

Juzi jamaa zangu wamenunua LC GXR 2024, interior yake ni kawaida sana.

Mwisho wa siku wengi tunapambana na Toyota kwa sababu za kiuchumi.
 
Wazambia na Wamalawi wanaona kama tumerogwa kutokupenda magari mazuri na magari yao mazuri mengi yanapita hapa kumbe sisi mchawi wetu ni TRA ndio maana leo hii tunazungumzia gari za mwaka 2000.
Wewe nawe unaongeaga ujinga tu. Kwani gari za mwaka 2000 Zina shida gani,!?
 
Back
Top Bottom