Mdau futa hii inakuelezea jinsi gani uwezo wako kichwani ulivyo. Hivyo vitu ulivyotaja havishabihiani hata kidogo.Yaani ukiwa na akili za kimasikini jamani balaa. Yaani ni sawa na kuniambia ninunue shati la kudumu miaka 10 hahaha kama huna hela utaanza kifikiria hivyo
Hillux ni gari ambazo nazielewa mno, Mungu nibariki na mimi
Wajerumani wanaujua moto wa Toyota, its no joke🤣 hapo ingekuwa Benz isingewaka milele daima.View attachment 3166322
Mwamba toyota hilux jino 1 tu baada ya kulala hapo miaka kibao,kaka Extrovert una lipi la kuwaambia wagermany wa jf?
Hakika bro 😃Wajerumani wanaujua moto wa Toyota, its no joke🤣 hapo ingekuwa Benz isingewaka milele daima.
Hillux ni gari ya mstaafu mkuu? Upate model za sasa hivi lazima uipende..
Zile top speed ni 200 sema ziko turbocharged zikifunguka huwa ni speed mshale ndio maana wanaziita "bombadier"Hivi hizi Toyota Hilux za kisasa, ubao una speed ngapi? Naona zinamwaga moto mno hadi kuunga misafara ya viongozi.
-Kaveli-
Gari nyingi zikiwa umepaki bila tatizo lolote wewe tafuta betri tu iwashe unaondoka sio Hilux pekee ndio ipo hivyo kwa sisi tulionunua magari Mpumalanga hizo mambo ni kawaida sana iwe Ford,Toyota mtu aliepaki bila shida unaenda na betri yako tu na mafuta..View attachment 3166322
Mwamba toyota hilux jino 1 tu baada ya kulala hapo miaka kibao,kaka Extrovert una lipi la kuwaambia wagermany wa jf?
Umeiona hiyo gari sehemu iliyopaki?Gari nyingi zikiwa umepaki bila tatizo lolote wewe tafuta betri tu iwashe unaondoka sio Hilux pekee ndio ipo hivyo kwa sisi tulionunua magari Mpumalanga hizo mambo ni kawaida sana iwe Ford,Toyota mtu aliepaki bila shida unaenda na betri yako tu na mafuta..
Kwa gari hiyo kawaida tuUmeiona hiyo gari sehemu iliyopaki?
Kwa mazingira yale gari za ulaya aiamkiKwa gari hiyo kawaida tu
Discover old model, nisan safari. Nisan patrol land crusel hard topMwanaJF,
Naomba tujadili magari magumu zaidi kwa mazingira ya Tanzania. Magari ambayo unaweza ukaendesha zaidi ya miaka 15+ bila shida kubwa kubwa. Services za kawaida na replacement ndogo ndogo.
Kwa uzoef wangu naona yafuatayo
1. Toyota Carina Ti
2. Rav 4 old model
3. Suzuki Escudo
4. Toyota Hilux
5. Land Rover Defender 110
Naomba tuendeleze list
Kiukweli ni umasikini tuu, ila European cars (read Germany 🇩🇪), are some of the most comfortable cars nimewahi endesha.Toyota zina roho ya paka
Mimi niliwahi kuwa na Ford Bantam ya 2007 niliinunua 2009 nimetumia mpaka 2023 ndio mtu mwingine kaipokea miaka yote hiyo hakijawahi kuharibika ni kuwasha na kuondoka hata ukikiacha muda mrefu kitawaka tu.Kwa mazingira yale gari za ulaya aiamki
RAV4 MassaweRav 4 old Niko nayo siwezi uza , sometimes nabebea tofali ,nginja nginja kama zote siidai chochote hii gariView attachment 3164377na sehemu za starehe inazijua inanipeleka yenyewe kama cyber truck.
Wewe nawe unaongeaga ujinga tu. Kwani gari za mwaka 2000 Zina shida gani,!?Wazambia na Wamalawi wanaona kama tumerogwa kutokupenda magari mazuri na magari yao mazuri mengi yanapita hapa kumbe sisi mchawi wetu ni TRA ndio maana leo hii tunazungumzia gari za mwaka 2000.