Magari gani ya kununua nyakati hizi kwa kijana?

K
Kwa hicho kicheko cha huhuhu nadhani hata hilo beemer x6 unaliskia kwa jujuju
 
Nashukuru hatupo mbali mbali sana mie kwetu wapo watatu mmoja ana Jeep Grand Cherokee SRT, mwengine Range rover Velar na mkubwa kabisa ana G wagon ya 2018 ile! Mie nimeamua nijishikize na Jaguar F-Pace mambo yangu hayajakaa vizuri
Sisi wenye porsche macan tunacomment wapi na vi crossover vyetu
 
Anyway Nina Suzuki escudo old model grand Vitara. Root za bush zote nakanyaga tu. ila town nakuaga mpoleeeee. Tukiingia rough road nawacheka tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kwani cm na gari zinahusiana nini? Wapo wanaotumia Tecno na wana drive ndinga za maana, au unataka nikutajie? Mambo mengine uwage kimya unajidhalilisha buree, huo ni ushamba.
 
Sishoboki kwa vitu km hivyo mie, halafu kanuni ya maisha yangu ni kujitafutia changu halali na sitegemei cha mtu, upo wee mtu?
Km wazazi wangu gari wanazo, japo sio range rover, nimetoka kwenye familia yenye uwezo na inajiweza haswaah, ila nilikua naisifia hiyo ndinga, kwani ni dhambi au vibaya lol.

Watu wengine stress zenu za nyumbani kwwnu mnaleta huku jf khaaah, poleeeh wee kaa kwa kutulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…