Magari gani ya kununua nyakati hizi kwa kijana?

Aisee jichukulie peps nakuja kulipa boss!

Hayo uliyotaja ndio magari sasa.

Siyo mtu unanunua gari alafu ukitaka kwenda kwenu unaanza kukimbizana na mabegi ubungo!

Hiyo rumion hivi watu wanaipendea nini?

Hivi kabisa mtu unatoa milioni 10 unachukua rumion
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Gari zipo nyingi za uchumi wa kati ni wewe unapenda nini
 
Nashukuru hatupo mbali mbali sana mie kwetu wapo watatu mmoja ana Jeep Grand Cherokee SRT, mwengine Range rover Velar na mkubwa kabisa ana G wagon ya 2018 ile! Mie nimeamua nijishikize na Jaguar F-Pace mambo yangu hayajakaa vizuri
Hapo kwa range rover mie huwa akili inahama, kuna shost angu m1 danga lake alikua na Range Rover kali kinyama kudadadeki, mtoto anaenda nalo chuo, weekend tunakua nalo misele, afu mafuta nakanyaga mie,

Sijui Ali fail wapi eti akatoswa, ***** ningekua mie yule sponsor wallah Jah angenisamehe tyuuh, ningefanya vyovyote nimdhibiti awe chini yangu nahakikisha hafurukuti, yaan mtu ana mpunga, ndinga kali unaanzaje kutoswa daaaah.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nikikumbuka ile ndinga hapan yaan,

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwa UDSM sasa lol

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Hahahah manka hutak stress weyeeeh [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Anapanda passo kwa uchungu sahiziπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… shenzi! Watoto wa kipare na waganga ni === alisikika mlevi mmoja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…