Magari gani ya kununua nyakati hizi kwa kijana?

Magari gani ya kununua nyakati hizi kwa kijana?

Mshua na Ba mdogo, wote wana BMW.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Nashukuru hatupo mbali mbali sana mie kwetu wapo watatu mmoja ana Jeep Grand Cherokee SRT, mwengine Range rover Velar na mkubwa kabisa ana G wagon ya 2018 ile! Mie nimeamua nijishikize na Jaguar F-Pace mambo yangu hayajakaa vizuri
 
Vijana wa nguvu tunanunua tu Harrier, na prado japo hata old model kwa dalari,,,ama vipi cluger kwajil ya mipasho mitaani na club kujibebea totozi zenye vishundu yaani pisi kali,,,ama Alphad new model kubebana na masera kila weekend pale kidimbwi ama samaki samaki kujiokotea vijichura vya UDSM[emoji23][emoji23][emoji849][emoji344][emoji344][emoji344][emoji344][emoji344]....nimesikikaa hukooo
 
Mr wangu ana BMW X6, na jmos nakanyaga mafuta mwenyewe Dar - Arusha via Dom, vipi unataka lift?

Hizo gari zenu za kitoto hapan kwa kweli, yaan mdada ana haha kisa crown, IST? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu wawe serious bas khaaah.

Nataka gari ambayo nikikaa kulia, kweli na drive ndinga, huhuhuh

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Daa nakula Exposure tu leo
 
Back
Top Bottom