Magari gani ya kununua nyakati hizi kwa kijana?

Vipi wewe mara ya mwisho lini umepandishwa lini Benz Maybach? Au porsche Cayenne[emoji13][emoji13][emoji13]
Mr wangu ana BMW X6, na jmos nakanyaga mafuta mwenyewe Dar - Arusha via Dom, vipi unataka lift?

Hizo gari zenu za kitoto hapan kwa kweli, yaan mdada ana haha kisa crown, IST? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu wawe serious bas khaaah.

Nataka gari ambayo nikikaa kulia, kweli na drive ndinga, huhuhuh

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Jamii forums bhana,
 
Sawa sawa hongera sana bana! Uzuri mie japo maskini ila hii Jaguar F-Pace inanifariji kwa trip za mihangaikoni hapa town 😂
 
Mr wangu ana BMW X6, na jmos nakanyaga mafuta mwenyewe Dar - Arusha via Dom, vipi unataka lift?

Hizo gari zenu za kitoto hapan kwa kweli, yaan mdada ana haha kisa crown, IST? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu wawe serious bas khaaah.

Nataka gari ambayo nikikaa kulia, kweli na drive ndinga, huhuhuh

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Sema usimuache maana akikutosa utapanda Passo
 
Back
Top Bottom