Yaan pale Magu hostel opposite na Mawasiliano Tower, siku za weekend zinajipanga IST na crown, kuchukua totoz za UD, bas zenyewe zinaringa na kujiona zimepatia, mie huwa nachekaga had hoi.Haaaaaaah iv yn
Yaan had huwa nataman kumuuliza ali fail wapi? Km vipi angeomba hata msaada kwangu daaah, imebaki story tyuuh now.Anapanda passo kwa uchungu sahizi[emoji28][emoji28][emoji28] shenzi! Watoto wa kipare na waganga ni === alisikika mlevi mmoja [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wee eti kimkebe khaaah, [emoji23][emoji23][emoji23]Eeh mae. Kapsaaa. Kimkebe hapana
Wapi wee mbna sijaelewa.Nisubr gogon hapo jumaTano tuinue wote
Kama ni uhadimu basi atafute Renault carsNimetoa tu reference gari za kijerumani,, kiufupi hata toyota land cruiser v8 unaweza kuipaki tandale uzuri na isiibiwe chochote .
Wizi wa vipuri vya magari dar unategemea na wingi wa magari hayo, Ist inafatwa popote na vibaka kwa sasa maana zipo nyingi, gari adimu unapaki popote
😅😅😅😅😅 heheheh nacheka kwa kicheko cha jamuhuri! Wapare tuko juu kumbe japo hatuvumiYaan had huwa nataman kumuuliza ali fail wapi? Km vipi angeomba hata msaada kwangu daaah, imebaki story tyuuh now.
Watoto wa kipare na waganga nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nawapenda wapare wako smart kwa kila kitu, afu wana swagger fulan za kipekee, hapo tyuuh mie ndo wamenikamata.
Waparee hoyeeeh [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukikumbuka ile ndinga unaloana kabisa!Hapo kwa range rover mie huwa akili inahama, kuna shost angu m1 danga lake alikua na Range Rover kali kinyama kudadadeki, mtoto anaenda nalo chuo, weekend tunakua nalo misele, afu mafuta nakanyaga mie,
Sijui Ali fail wapi eti akatoswa, ***** ningekua mie yule sponsor wallah Jah angenisamehe tyuuh, ningefanya vyovyote nimdhibiti awe chini yangu nahakikisha hafurukuti, yaan mtu ana mpunga, ndinga kali unaanzaje kutoswa daaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nikikumbuka ile ndinga hapan yaan,
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Mambo ya jamii forum hayo😂😂😂 tupia picha ya hyo X6...sent from infinix X6🤭Mr wangu ana BMW X6, na jmos nakanyaga mafuta mwenyewe Dar - Arusha via Dom, vipi unataka lift?
Hizo gari zenu za kitoto hapan kwa kweli, yaan mdada ana haha kisa crown, IST? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu wawe serious bas khaaah.
Nataka gari ambayo nikikaa kulia, kweli na drive ndinga, huhuhuh
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
''Mshua ana BMW''....BMW model ipi na ya mwaka gani? Kuna mwanangu last month kachukua BMW X3 kwa 12m tu all duty paid.Nashukuru hatupo mbali mbali sana mie kwetu wapo watatu mmoja ana Jeep Grand Cherokee SRT, mwengine Range rover Velar na mkubwa kabisa ana G wagon ya 2018 ile! Mie nimeamua nijishikize na Jaguar F-Pace mambo yangu hayajakaa vizuri
😅😅😅😅😅😅 hio itakuwa ya zama za mawe😅😅😅''Mshua ana BMW''....BMW model ipi na ya mwaka gani? Kuna mwanangu last month kachukua BMW X3 kwa 12m tu all duty paid.
Mambo ya jamii forum hayo😂😂😂 tupia picha ya hyo X6...sent from infinix X6🤭
Ni kweli kabisa mkuu bora mm nna PASO yangu na sim yngu nnayotumia ni infinix nikibadili natafuta tecno ili mradi JF naingia. Hizo V8 naishia kuziona tu road na Porsche cayenne nazionaga tu Youtube😀Eeh mkuu kuzaliwa maskini sio kosa mkuu! Kosa ni kuendelea kuishi kimaskini online mkuu!
Hahahah aliecomment anapush rover wote tulikuwa tumeanika nguo kwenye mwendokasiNi kweli kabisa mkuu bora mm nna PASO yangu na sim yngu nnayotumia ni infinix nikibadili natafuta tecno ili mradi JF naingia. Hizo V8 naishia kuziona tu road na Porsche cayenne nazionaga tu Youtube😀
''Ukiwa masikin online umejitakia ''📌 Nna infinix yangu yenye 4500mAh inakaa na chaji masaa 72 😂 ntakuaje masikini onlineHahahah aliecomment anapush rover wote tulikuwa tumeanika nguo kwenye mwendokasi
Wanaiita toyota jeneza... umbile lie tatizoRumion ipo kwenye chat ila umbile lake kama Lunchbox dah inanipa ukakasi
FasheniIna body mbovu kinyama,sijui wanaipendea nini vijana [emoji1]
Suzuki swiftHivi Karibuni nilikua naona IST ndo y vijana ila naona zimejaa nyingi na pia kuna wimbi kubwa la wizi wa IST
Vijana wenye hela naona wanakimbilia Crown maana sahivi zimejaa sana
Naombeni maoni yenu kua ni gari gani sahivi inafaa kijana wa uchumi wa kati ?
Kwa hela yake milioni 4 ya mkopo hawezi nunua/hudumia hiyo