Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bosi kama unatafuta magari ya mtumba pick up ngoja nikuchekie stock halafu nirudi kwako. ila kama unatafuta magari mapya kwa Tata pick up mbona bei yake ni chini zaid kuliko Toyota pick up ????? au sijakuelewa. hebu nipe namba yako ya simu nikuchekie pick up za tata mtumba
zipo mkuu . zipo kama 8 stock zimebaki. bei ni dola 85,000 au M 195. ni za horse power 340. HPNovus( horse) mnazo?
zipo mkuu . zipo kama 8 stock zimebaki. bei ni dola 85,000 au M 195. ni za horse power 340. HP
Ipo novus Prima tractor horse ya Dola 62,000 au M 143. Kama unapendelea chinese brand nafahamu watu wangu wa Howo wanauza wapo humu humu Jamii forums wanatangaza.ok, bei naona zipo juu compared to Chinese brands, nitakufuata inbox
Tuletee na hao wanaohusika na Mabasi tununue kwa mkoposi
sipo kwenye kitengo cha mabasi mkuu, nipo kitengo cha malori, macanter, kirikuu na pick ups. Tangazo hili ni bure lakini nina mpango wa kuongea na admini nifanye malipo.
Na wenyewe wanakopeshaa lakin????Kitengo cha mabasi, ongea na huyu Bw, Geof. 0655-040031
wanakopesha asilimia 100Na wenyewe wanakopeshaa lakin????
tata kirikuu. matajiri wangu nawasubiri kwenye line yangu ya simu 0737-017866tata ace kirikuu. mpya kwa bei nzuri. karibuni 0686-168624.
Spea zipo mkuu zinapatikana kwetu, kwa mawakala wa ilala, kariakoo na sehemu zingine bosi. Tata kwa spea wako kila sehemu, kampuni imejipanga kila idara.Mkuu, vipi upatikanaji Wa spea Wa hayo magari? Maana Mara nyingi kazi IPO kwenye spea
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi mnafanya vizuri maana gari nyingine zaidi ya Toyota, Mara nyingi watu huziogopa kwa kuhofia speaSpea zipo mkuu zinapatikana kwetu, kwa mawakala wa ilala, kariakoo na sehemu zingine bosi. Tata kwa spea wako kila sehemu, kampuni imejipanga kila idara.