Car4Sale Magari mapya ya Kampuni ya Tata yanauzwa

Car4Sale Magari mapya ya Kampuni ya Tata yanauzwa

Magari yenu bei kubwa mno, bora nikanunue toyota pickup..

Sent using Jamii Forums mobile app
Bosi kama unatafuta magari ya mtumba pick up ngoja nikuchekie stock halafu nirudi kwako. ila kama unatafuta magari mapya kwa Tata pick up mbona bei yake ni chini zaid kuliko Toyota pick up ????? au sijakuelewa. hebu nipe namba yako ya simu nikuchekie pick up za tata mtumba
 
ok, bei naona zipo juu compared to Chinese brands, nitakufuata inbox
Ipo novus Prima tractor horse ya Dola 62,000 au M 143. Kama unapendelea chinese brand nafahamu watu wangu wa Howo wanauza wapo humu humu Jamii forums wanatangaza.
 
Tata Ex2 canter tani 8. gari mpya engine mpya, zero kwa bei nafuu. wasiliana nami 0686168624
 

Attachments

  • 4t-cargo-gallery01.jpg
    4t-cargo-gallery01.jpg
    32 KB · Views: 294
Tata kirikuu zipo stock anayehitaji anitafute 0686-168624.
 
si

sipo kwenye kitengo cha mabasi mkuu, nipo kitengo cha malori, macanter, kirikuu na pick ups. Tangazo hili ni bure lakini nina mpango wa kuongea na admini nifanye malipo.
Tuletee na hao wanaohusika na Mabasi tununue kwa mkopo
 
tata ace kirikuu. mpya kwa bei nzuri. karibuni 0686-168624.
 

Attachments

  • IMG_20180820_103534.jpg
    IMG_20180820_103534.jpg
    103.3 KB · Views: 292
TATA XENON pick up zinapatikana.simu 0686168624
 

Attachments

  • IMG_20180820_103446.jpg
    IMG_20180820_103446.jpg
    84.7 KB · Views: 291
Back
Top Bottom