Mhigomkami
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 1,105
- 765
Tata pickup huwa hazina mbio sijui kwanini? Ukiwa hata na Lori unapita tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tata kirkuu used zipo? sh ngapi?tata ace kirikuu. mpya kwa bei nzuri. karibuni 0686-168624.
mpaka nizicheki stock kama tunazo mkuu. ungenipa namba yako nisave. ili nikipata taarifa nikujlishe.
poa nakutumia inbobompaka nizicheki stock kama tunazo mkuu. ungenipa namba yako nisave. ili nikipata taarifa nikujlishe.
Cjakupata boss, wanakopesha 100% si nikulipia keshi sasa!!wanakopesha asilimia 100
maana yangu ni kwamba tunakopesha magari ya aina zote.Cjakupata boss, wanakopesha 100% si nikulipia keshi sasa!!
vipi utratibu WA kukopa?maana yangu ni kwamba tunakopesha magari ya aina zote.
vipi utratibu WA kukopa?
Asantee mkuu nahitaji tata Bus nipe utaratibumaana yangu ni kwamba tunakopesha magari ya aina zote.
Ni vigezo gani natakiwa kuwa navyo ili niweze kukopa?anayehitaji Tata pick up mpya kwa mkopo hadi miaka 2. tuwasiliane. 0737-017866.
Mkuu ungesisitiza kampuni wakupe email address ya @tata.co.tz, itakupa uhalali zaidi.
Wengine tulishaumwa na nyoka, tukiona jani tunakimbia.
Ila kila nikiona kampuni ya Tata nakumbuka Nyumbu yetu. Sijui lini na sisi tutaanza kutengeneza civilian vehicles...
cha ajabu nini hapo. mbona Eicher gari zao nao wanaita canter. Faw nao wana lori zao ndogo zinaitwa canter.