Car4Sale Magari mapya ya Kampuni ya Tata yanauzwa

Car4Sale Magari mapya ya Kampuni ya Tata yanauzwa

Tata canter tani 4. kwa bei nzuri karibu zipo stock nyingi tu. kwa mteja wa cash au mkopo piga simu. 0737017866.
 

Attachments

  • 4t-cargo-gallery01.jpg
    4t-cargo-gallery01.jpg
    32 KB · Views: 125
Tata tipper zinapatikana kuanzia tani 8 hadi tani 15 karibuni wadau. napokea simu zenu muda wote. 0737017866, 0686-168624
 
anayehitaji Tata pick up mpya kwa mkopo hadi miaka 2. tuwasiliane. 0737-017866.
 
Ni vigezo gani natakiwa kuwa navyo ili niweze kukopa?

Sent using Jamii Forums mobile app

kama ni mfanyabiashara au mtu binafsi anataka mkopo wa kununua Gari za Tata anatakiwa alete vitu vifuatavyo;

lete copy ya leseni ya biashara ya kampuni yako.
lete copy ya tin na vat namba ya kampuni yako.
Bank statement ya akaunti yako ya miaka 2 iliyopita, 2018 hadi 2016.

kama wahasibu wetu wakiridhika na documents zako basi tunaingia mkataba. lazima ulipe asilimia 30 advance ya gari. tuna mkopo wa miezi 6, mwaka hadi miaka 2 na unakuwa unalipa kwa instalments ya kila mwezi , riba inategemea na unachukua mkopo wa muda gani kulipa. riba inaanzia asilimia 8 mpaka 20.
 
Mkuu ungesisitiza kampuni wakupe email address ya @tata.co.tz, itakupa uhalali zaidi.
Wengine tulishaumwa na nyoka, tukiona jani tunakimbia.
Ila kila nikiona kampuni ya Tata nakumbuka Nyumbu yetu. Sijui lini na sisi tutaanza kutengeneza civilian vehicles...
 
Mkuu ungesisitiza kampuni wakupe email address ya @tata.co.tz, itakupa uhalali zaidi.
Wengine tulishaumwa na nyoka, tukiona jani tunakimbia.
Ila kila nikiona kampuni ya Tata nakumbuka Nyumbu yetu. Sijui lini na sisi tutaanza kutengeneza civilian vehicles...

Bosi namba zangu za simu ni hizo 0686-168624 au 0737017866. nipigie simu tukutane hapo Tata ofisini, ili unione, nimeajiriwa pale na nina mwezi mmoja tangu niingie pale kwa hiyo email ya ofisi sijapewa bado.
 
hivi hakunaga magari ya luxury ya tata,ambayo yanaweza kuwa kama mfano ist ,pajero yale mashangingi yale nakadhalika?
 
Back
Top Bottom