Car4Sale Magari mapya ya Kampuni ya Tata yanauzwa

Car4Sale Magari mapya ya Kampuni ya Tata yanauzwa

TATA SF 407. KRISMASI OFA IPO. BEI NAFUU. KWA TARATIBU ZA MKOPO. PIGA SIMU- 0686-168624
 
Attachments

  • IMG_20180820_105108.jpg
    IMG_20180820_105108.jpg
    130.2 KB · Views: 86
tata lp 909 bus. zipo stock wahi mwezi huu wa disemba kabla hazijasha.

simu 0686-168624
 
Attachments

  • 4321e1d7-c595-47e3-bc72-8e70898fb7c6.png
    4321e1d7-c595-47e3-bc72-8e70898fb7c6.png
    92.4 KB · Views: 96
Tata magali yenu ni mazuli ila kwa uzoefu wangu magali ya tata yana udhaifu wa injini ndogo bodi kubwa matokeo take yanakosa nguvu,nafikili walitaka kupunguza ulaji wa mafuta, coasta,fuso,scania n.k wameweka injini kubwa kuipa gali nguvu na bado ulaji wa mafuta ni mdogo,wahandisi wa tata bado swala la injini hawajaliweka sawa,magali yenu yanategemea gearbox na dif ili kupata nguvu, ila nawapongeza kutuletea magali mapya mchina apate mshindani
 
sawa bosi. ila magari ya tata yameboreshwa sasahivi.
 
Habari wadau, mimi ni afsa masoko kutoka kampuni ya Tata Motors ya Tanzania. Ninawatangazia magari yetu aina ya Tata.
Ni magari mazuri, imara yanadumu muda mrefu na ni mapya kabisa kutoka kiwandani hayajatumika ni zero km. warranty miaka 3.
Tunauza cash na tunatoa mikopo ya magari kwa wafanyabiashara wote Tanzania. Taasisi za serikali,sekta binafsi pamoja na
wafanyabiashara wa kutoka mikoa yote ya tanzania ninawakaribisha kwa mawasiliano yangu,

Bw Jon (Afsa Masoko Tata motors)
Simu
0737-017866 au 0686- 168624
Email- jopelo.john@mail.com

Bei za Magari Madogo
Tata kirikuu (Ace Ex2 ) tani moja- M 28.
Tata Kirikuu ( Mega Ace) Tani mbili-M 33
Tata Pick up Single Cabin - M 44.
Tata pick up Double cabin - M 52.

Bei za Magari ya Tata canter
Tata Canter SFC 407 Tani 3.5 - M 56
Tata Canter EX2 709 Tani 4 - M 66
Tata canter Ex2 713 Tani 4.5 - M 68
Tata canter Ex2 1012 tani 5 - M 94.
Tata canter Ex2 1518 tani 8 - M 117
Tata canter LPT 25 15 Tani 10 - M 127
Tata Canter EX2 LPT 2516 Tani 10 - M 142

Bei za Malori ya Tipper
Tata Lpk 813 Tani 8 cubi meter- 3.5 - M 80
Tata lpk 1615 tani 10 cubic meter- 8.5 - M 109.
Tata lpk 2516 tani 12 cubic meter 14- M 152.
Tata lpk Prima 2523 tani 15 cubic meter 16 - M 189.
Tata prima 2528 tani 15 cubic meter 18 - M 205.

Bei za malori ya kuvuta Trailer
Tata prima Novus 4928 6x4 - M 143,

Bei za malori yenye winch
Tata Lpk 713- M 131.
Tata Lpk 1518 - M 207.

Bdi za malori zeney mashine ya kuchanganya cement (concrete mixer)
Tata lpk 2518 Concrete mixer - M 187.

r)View attachment 842723View attachment 842724View attachment 842725View attachment 842726View attachment 842727View attachment 842728View attachment 842730View attachment 842731View attachment 842732View attachment 842733View attachment 842734View attachment 842735View attachment 842736View attachment 842737View attachment 842738View attachment 842739View attachment 842740View attachment 842741View attachment 842742View attachment 842743
 
Ipo novus Prima tractor horse ya Dola 62,000 au M 143. Kama unapendelea chinese brand nafahamu watu wangu wa Howo wanauza wapo humu humu Jamii forums wanatangaza.
Hii kwapesa ya kitanzania Ni Bei g and na inaweza kuvuta Tani npapi
 
kwa wateja wanaotaka mabasi ya tata. kuna ofa kubwa ya punguzo Disemba hii.
piga simu 0686-168624. weka ofa yako sasa. kabla januari haijafika.
 
Nataka kirikuu
habari yako. Tata kirikuu zipo. ntakuuzia bei nzuri pamoja na box body, ofa nzuri kwa mwezi huu. nipigie simu 0686-168624 au 0737-017866. au njoo private message. au nipe namba yako nikupigie
 
habari yako. Tata kirikuu zipo. ntakuuzia bei nzuri pamoja na box body, ofa nzuri kwa mwezi huu. nipigie simu 0686-168624 au 0737-017866. au njoo private message. au nipe namba yako nikupigie
Niambie tu hapa mkuu ili kama unaniumiza wadau waseme
 
Niambie tu hapa mkuu ili kama unaniumiza wadau waseme
sasa tukiongea hadharani hapa itakuwa sio poa maana kila mtu atajua tunafanya biashara ndio maana nakuambia njoo kwenye simu bosi. hii ofa ni ya muda mfupi. kama upo serious njoo tuongee kwenye simu tuonane ofisini nikuonyeshe gari yenyewe uridhike.
 
habari yako. Tata kirikuu zipo. ntakuuzia bei nzuri pamoja na box body, ofa nzuri kwa mwezi huu. nipigie simu 0686-168624 au 0737-017866. au njoo private message. au nipe namba yako nikupigie
 
Back
Top Bottom