Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TATA XENON pick up zinapatikana.simu 0686168624
TATA SF 407. KRISMASI OFA IPO. BEI NAFUU. KWA TARATIBU ZA MKOPO. PIGA SIMU- 0686-168624
sawa bosi. ila magari ya tata yameboreshwa sasahivi.Tata magali yenu ni mazuli ila kwa uzoefu wangu magali ya tata yana udhaifu wa injini ndogo bodi kubwa matokeo take yanakosa nguvu,nafikili walitaka kupunguza ulaji wa mafuta, coasta,fuso,scania n.k wameweka injini kubwa kuipa gali nguvu na bado ulaji wa mafuta ni mdogo,wahandisi wa tata bado swala la injini hawajaliweka sawa,magali yenu yanategemea gearbox na dif ili kupata nguvu, ila nawapongeza kutuletea magali mapya mchina apate mshindani
Habari wadau, mimi ni afsa masoko kutoka kampuni ya Tata Motors ya Tanzania. Ninawatangazia magari yetu aina ya Tata.
Ni magari mazuri, imara yanadumu muda mrefu na ni mapya kabisa kutoka kiwandani hayajatumika ni zero km. warranty miaka 3.
Tunauza cash na tunatoa mikopo ya magari kwa wafanyabiashara wote Tanzania. Taasisi za serikali,sekta binafsi pamoja na
wafanyabiashara wa kutoka mikoa yote ya tanzania ninawakaribisha kwa mawasiliano yangu,
Bw Jon (Afsa Masoko Tata motors)
Simu 0737-017866 au 0686- 168624
Email- jopelo.john@mail.com
Bei za Magari Madogo
Tata kirikuu (Ace Ex2 ) tani moja- M 28.
Tata Kirikuu ( Mega Ace) Tani mbili-M 33
Tata Pick up Single Cabin - M 44.
Tata pick up Double cabin - M 52.
Bei za Magari ya Tata canter
Tata Canter SFC 407 Tani 3.5 - M 56
Tata Canter EX2 709 Tani 4 - M 66
Tata canter Ex2 713 Tani 4.5 - M 68
Tata canter Ex2 1012 tani 5 - M 94.
Tata canter Ex2 1518 tani 8 - M 117
Tata canter LPT 25 15 Tani 10 - M 127
Tata Canter EX2 LPT 2516 Tani 10 - M 142
Bei za Malori ya Tipper
Tata Lpk 813 Tani 8 cubi meter- 3.5 - M 80
Tata lpk 1615 tani 10 cubic meter- 8.5 - M 109.
Tata lpk 2516 tani 12 cubic meter 14- M 152.
Tata lpk Prima 2523 tani 15 cubic meter 16 - M 189.
Tata prima 2528 tani 15 cubic meter 18 - M 205.
Bei za malori ya kuvuta Trailer
Tata prima Novus 4928 6x4 - M 143,
Bei za malori yenye winch
Tata Lpk 713- M 131.
Tata Lpk 1518 - M 207.
Bdi za malori zeney mashine ya kuchanganya cement (concrete mixer)
Tata lpk 2518 Concrete mixer - M 187.
r)View attachment 842723View attachment 842724View attachment 842725View attachment 842726View attachment 842727View attachment 842728View attachment 842730View attachment 842731View attachment 842732View attachment 842733View attachment 842734View attachment 842735View attachment 842736View attachment 842737View attachment 842738View attachment 842739View attachment 842740View attachment 842741View attachment 842742View attachment 842743
Hii kwapesa ya kitanzania Ni Bei g and na inaweza kuvuta Tani npapiIpo novus Prima tractor horse ya Dola 62,000 au M 143. Kama unapendelea chinese brand nafahamu watu wangu wa Howo wanauza wapo humu humu Jamii forums wanatangaza.
USD 62,000 ni TZS Mil 142,600,000. inavuta tani 25 tu. bosi. hio engine HP 280.Hii kwapesa ya kitanzania Ni Bei g and na inaweza kuvuta Tani npapi
Tata canter SF 108
Tata Ex2 canter tani 8. gari mpya engine mpya, zero kwa bei nafuu. wasiliana nami 0686168624
habari yako. Tata kirikuu zipo. ntakuuzia bei nzuri pamoja na box body, ofa nzuri kwa mwezi huu. nipigie simu 0686-168624 au 0737-017866. au njoo private message. au nipe namba yako nikupigieNataka kirikuu
Niambie tu hapa mkuu ili kama unaniumiza wadau wasemehabari yako. Tata kirikuu zipo. ntakuuzia bei nzuri pamoja na box body, ofa nzuri kwa mwezi huu. nipigie simu 0686-168624 au 0737-017866. au njoo private message. au nipe namba yako nikupigie
sasa tukiongea hadharani hapa itakuwa sio poa maana kila mtu atajua tunafanya biashara ndio maana nakuambia njoo kwenye simu bosi. hii ofa ni ya muda mfupi. kama upo serious njoo tuongee kwenye simu tuonane ofisini nikuonyeshe gari yenyewe uridhike.Niambie tu hapa mkuu ili kama unaniumiza wadau waseme
habari yako. Tata kirikuu zipo. ntakuuzia bei nzuri pamoja na box body, ofa nzuri kwa mwezi huu. nipigie simu 0686-168624 au 0737-017866. au njoo private message. au nipe namba yako nikupigie
TATA XENON pick up zinapatikana.simu 0686168624