Magari ya Assad

Magari ya Assad

Ndipo unapoanza kujiuliza..kama navyojouliza..Russia as a big bro...naye pia hajali chochote,huyo takataka alitakiwa awe jela!
Wanajaliana na kupendana kimaslahi tu,sio kwa ajili ya watu!
 
Umenifanya ni go back to song 😅
Now there ain't no way that you could kill the beats dead,

Middle East women and Middle East bread,

I got Oil Well money in the desert playing Golf,

Don't ? with a Louis Scarf
Chest cold diamonds make a wanna cough,

In Dubai 20 million on a few lofts
I stay up in da club,

The way I make the people wanna sing the hook in Arabic

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Busta Rhymes alikuwa mtu mbad sana.
 
Ndipo unapoanza kujiuliza..kama navyojouliza..Russia as a big bro...naye pia hajali chochote,huyo takataka alitakiwa awe jela!
Wanajaliana na kupendana kimaslahi tu,sio kwa ajili ya watu!
Russia hana lolote. Hela hana. Silaha zao ni kuukuu.

Zaidi, nao wana dikteta wao.
 
Tawala hizi ni za kinafiki hence za kuogopwa sana; za kidini, kijamaa/komunisti; chama dola; kidikteta. Tawala za hivyo zina uchafu wa ajabu under the carpet. They always pretend to be government by the people and for the people but practically is quietly different.
Ukomunist umeletwa na Ibilisi.
 
Hii ni mifumo ya Dunia nzima.hata hapa Tanzania viongozi wanamagari ya kifahari na hawajawahi kuyatumia zaidi ya kuyapaki nyumbani tu.Mfano mama Samia alimnunulia mzee ruksa(mwinyi)Benzi Kwa Kodi zetu Kwa madai ya Samia kuwa gari kubwa V8GXR Huwa anashindwa kunyanyua mguu kupanda Kwa kuwa ni ndefu.Toka amnununulie Hilo Benzi Kwa tozo zetu halikuwahi kutumia Hadi Leo lipo tu nyumbani limepaki.
 
Waarabu ndo wanaongoza kwa corruption za wazi kabisa bora hata Africa wanajificha, kuna mfalme wa Bahrain sijui , Jamaa Ana super high end cars kama buku aisee, sijui nilikua naangalia collection yake nikiwa nawaza what a waste.... maintenance tu ya hayo magari ambayo mengi hayatumiki ni kiasi gani..

Sipati picha kina musk,Zuckerberg and the likes wangekua wazee wa ku flex sijui kama mjini pangetosha
Musk na Zuck hawana hela kushinda Hizo Royal Family za Waarabu, we unakuta Familia Ina Utajiri zaidi ya Trilioni Dollar.

Pia hizo hela wanarudisha kwa mwananchi wa kawaida pia ndio maana unaona hakuna Choko choko za kuwatoa madarakani. Nchi za Gulf vitu kama Elimu, Afya ni Bure, Kama Ugonjwa wako hautibiki Nchini serikali ina kulipia Kutibiwa Nje, kama Huna Ajira unalipwa Etc. Hata wewe ungekua ndio raia ungejali kiongozi wako kuna na magari ya kifahari? Am talking about Bahrain lakini sio Syria.
 
Waarabu ndo wanaongoza kwa corruption za wazi kabisa bora hata Africa wanajificha, kuna mfalme wa Bahrain sijui , Jamaa Ana super high end cars kama buku aisee, sijui nilikua naangalia collection yake nikiwa nawaza what a waste.... maintenance tu ya hayo magari ambayo mengi hayatumiki ni kiasi gani..

Sipati picha kina musk,Zuckerberg and the likes wangekua wazee wa ku flex sijui kama mjini pangetosha
Siyo Bahrain ni Brunei anaitwa Sultan Hassanal Bolkiah ana magari zaidi ya 7000, huyo ndio funga kazi kwenye kufanya kufuru hao wafalme wa kiarabu wanasubiri, huku wananchi wake wengi wakiishi kwenye umasikini mkubwa
 
Hebu ona hii collection ya magari ya kifahari ya dikteta Assad!

Na inaripotiwa kuwa hii ni moja tu ya collection yake ya hayo magari ya kifahari.

Alikuwa anayaendesha wapi hayo magari? Muda mwingi alikuwa mafichoni.

Popote alipokuwa anaenda alikuwa alikuwa anaendeshwa.

Ni lini alikuwa anaendesha hayo magari kwenye mitaa ya Damascus?

View: https://youtu.be/pUrnEbnoOK8?si=tGc8kyc1Z7pLaq-l

Ndio maana wana hasira hata kuchoma makaburi yao....!

Anakwa leo anaingia gari hii ananywea juisi, esho anaingia gari lila kutafunia tende, siku nyingine anaingia kwenye gari la kusomea duwaa.
Hebu ona hii collection ya magari ya kifahari ya dikteta Assad!

Na inaripotiwa kuwa hii ni moja tu ya collection yake ya hayo magari ya kifahari.

Alikuwa anayaendesha wapi hayo magari? Muda mwingi alikuwa mafichoni.

Popote alipokuwa anaenda alikuwa alikuwa anaendeshwa.

Ni lini alikuwa anaendesha hayo magari kwenye mitaa ya Damascus?

View: https://youtu.be/pUrnEbnoOK8?si=tGc8kyc1Z7pLaq-l
 
Now there ain't no way that you could kill the beats dead,

Middle East women and Middle East bread,

I got Oil Well money in the desert playing Golf,

Don't ? with a Louis Scarf
Chest cold diamonds make a wanna cough,

In Dubai 20 million on a few lofts
I stay up in da club,

The way I make the people wanna sing the hook in Arabic

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Busta Rhymes alikuwa mtu mbad sana.
Oyaa kasimu kangu hakana translate acheni uoenevu nyie.

Cc chalii wa ara Chaliifrancisco La Quica Alexander The Great Deeboyfrexh
 
Huyu nae alikuwa anatawala wanyonge kama wale wa pale kwetu maana viongozi wa wanyonge kwa kupenda fahari hawajambo. Ndio maana aliamua kuitelekeza fani yake ya u doctor huku kulikuwa kunalipa zaidi kutoka kusomea ku save life na kuamua kuangamiza malaki ya raia wake.
 
Siyo Bahrain ni Brunei anaitwa Sultan Hassanal Bolkiah ana magari zaidi ya 7000, huyo ndio funga kazi kwenye kufanya kufuru hao wafalme wa kiarabu wanasubiri, huku wananchi wake wengi wakiishi kwenye umasikini mkubwa

"Ranked as one of the world's wealthiest nations due to its vast oil and gas reserves, Brunei's population of 455,858 sees a contrast with a poverty rate of 5%, positioning it 11th out of 78 countries."

Brunei Darussalaam ni katika nchi zenye poverty rate ndogo sana.
 
Hahaa nimecheka kinoma nilipoona ferrari f50, hiyo gari ni zaidi ya billion 10 za kibongo huyu fala sijui alikua analiendeshea wapi
Kawaida ya madiktekta kutaka kila kitu awe nacho yeye rejea kwa magufuli kila kitu alitaka awe yeye
 
Kama haijulikani alipokuwa akiyaendesha, basi jamaa alikuwa na intel nzuri sana.
 
kuna mfalme wa Bahrain sijui , Jamaa Ana super high end cars kama buku aisee, sijui nilikua naangalia collection yake nikiwa nawaza what a waste.... maintenance tu ya hayo magari ambayo mengi hayatumiki ni kiasi gani..

Nchi za Khaleej (Gulf) ni katika nchi zenye kiwango kidogo sana cha umasikini na maisha ya watu wa huko kwa kiwango kikubwa tu ni mazuri.
 
Hebu ona hii collection ya magari ya kifahari ya dikteta Assad!

Na inaripotiwa kuwa hii ni moja tu ya collection yake ya hayo magari ya kifahari.

Alikuwa anayaendesha wapi hayo magari? Muda mwingi alikuwa mafichoni.

Popote alipokuwa anaenda alikuwa alikuwa anaendeshwa.

Ni lini alikuwa anaendesha hayo magari kwenye mitaa ya Damascus?

View: https://youtu.be/pUrnEbnoOK8?si=tGc8kyc1Z7pLaq-l

downloadfile.jpg
 
Back
Top Bottom