'Magari ya Makonda' yakwama kukarabatiwa, mwenyewe agoma kutoa ushirikiano

Hakuna wa kuigomea CCM ila wanaweza kuwepo wa kumgomea aliyekuwa akiyatumia maana alikuwa akiwazingua wengi huko Chamani !!
Lakini ngoja Tusubiri tuone πŸ™πŸ™ !
Hao wakina nani wana jaeuri hiyo? Mbapoteza muda hakuna wa kuhoji wala kuieajibisha CCM, akijaribu amepoteza kazi huyo
 
Hakuna ofisa wa TEMESA anaeweza kuhoji hilo kwa usalama wa ajira yake
 
Sentensi yako ya Kwanza inaonesha wewe ndio Mbumbumbu Humjui Vuta Nkuvute??

Vijana muache kuvamia nyuzi zenye uwezo zaidi yenu
Usikalili ndugu, kumjua kwako Vuta nikuvute haimaanishi kuwa kila atakachokileta jukwaani hapa kiko sahihi, Pamoja na weledi wake wote ikitokea kaleta jambo la uongouongo basi ni halali kwake kupachikwa jina la UMBUMBUMBU, Katika post ya leo hakika jamaa yako anastahili kuitwa MBUMBUMBU, na wala si Kwamba hajui alilolifanya hapa lakini ametanguliza chuki binafsi zilizompofusha macho yake. Hivyo kuitwa MBUMBUMBU ni haki yake katika hili.
 
Mzee Tupatupa, umeanza tena chokochoko!

Bora uchokoe pweza, makonda atakushinda.
 
Uongo!

Sensational journalism.

Nani nchi hii, ndani na nje ya serikali, hajui zile ziara zinafanywa kwa baraka za, na kwa niaba ya, na maagizo ya Rais ? Nani hajui? Kumfurahisha Rais, na kumpigia kampeni Rais Samia, nani hajui ????

Hakuna kiumbe TEMESA au popote serikalini chenye mamlaka, chenye kende, za kulazimisha taratibu zifatwe pale zinapovunjwa na Mkuu wa Nchi. Gari zitatengenezwa!

CCM desperately needs the voice, power and charisma of Paul Christian Makonda.
 
Mleta mada muongo chama hakiwezi jieleza kwa sababu ya magari ya serikali wale waliongozana kwenda kwenye
mkutano kusikiliza kero za wananchi na kuzipa majibu

Kiongozi wa serikali kusikiliza.kero za wananchi ni moja ya majukumu yake
Nyie ndio mlio soma civics halafu mkatoka na sifuri
 
Aahaaa,dah
 
For it’s survival ??!!
Yes πŸ‘ you’re damn right πŸ’―
It happened once in 2015 elections JPM slogan
Chagua Magufuli !
That slogan saved the day ! πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ™πŸ™πŸ™
 
For it’s survival ??!!
Yes πŸ‘ you’re damn right πŸ’―
It happened once in 2015 elections JPM slogan
Chagua Magufuli !
That slogan saved the day ! πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ™πŸ™πŸ™
πŸ™πŸ™
 

Mtoa habari inaonekana ww ni kilaza. CCM ni taasisi kubwa. Makonda, alikuwa, kwenye shughuli za chama.Gari za msafara, zikapata,, ajali. Ww unakuja unasema makonda hataki kushughulikia, suala la hizo gari. Ww, ni mjinga. Gari zitashughulikiwa, na, idara, maalum ya chama inayohusika, na magati, logistics za vyombo vya usafiri kwa viongozi. Yaan, Uzi wako umekaa, kimajungu lakin, pia umekaa, kama mtu usiyeelewa kuhusu, logistics za, taasisi. Hili ni tatizo la elimu.Lowasa alisema elimu!! Elimu!!!Pia lazima uelewe Makonda ni Kiongozi mkubwa wa chama sio mwenzako. Ebo!!
 
Yaani mnapanga mpaka magari yatakavyopigwa
Kweli Africa ni shida
Upigaji mpaka unaujua utakuaje na utakamilika lini
Africa oyeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…