PostGE2025 Magari ya matangazo yasambazwa mtaani kutoa taarifa kwamba watu wasiandamane. Hii imekaaje? Ni uoga au paranoia?

PostGE2025 Magari ya matangazo yasambazwa mtaani kutoa taarifa kwamba watu wasiandamane. Hii imekaaje? Ni uoga au paranoia?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Uzuri jeshi letu Lina weredi wanakutangazia kabisa ili nyumbu atakayetoka asimlaumu Samia, mambo ya mama zenu wanaanza kudai maiti hatutaki.maana umeshaonywa umeshupaza shingo.
Hii kama defence mechanism kwamba likitokea la kutokea nao wameshapata pakutokea kwamba mbona tuliwaambia. M/Mungu aepushe haya mambo.🙏
 
Eti wananchi wasioitakia mema nchi !

Wajinga kweli hao , watekaji na mafisadi ndio wanaitakia nchi mema?

Watu kuandamana ambayo ni haki kikatiba inahusiana vipi na amani ?

Wasiwaelekeze wananchi cha kufanya , sababu hiyo ni siku ya mapumziko wananchi wanaweza kuamua kutopumzika pia .
 
Bora ukose mali upate akili, sasa hapo hata walokua hawajui washajua dec 9 kuna jambo.
Si wajue ili hata wakisikia Kuna watu wameuliwa kwenye maandamano wasije kulia lia na kutafuta huruma huku mitandaoni.

Ibaki ya kuwa mliambiwa tangu mapema msiandamane.
 
Uzuri jeshi letu Lina weredi wanakutangazia kabisa ili nyumbu atakayetoka asimlaumu Samia, mambo ya mama zenu wanaanza kudai maiti hatutaki.maana umeshaonywa umeshupaza shingo.
Uzuri zaidi wauwaji hawachagui wa kumuuwa wao wanatembeza shaba tu hovyo, sasa utajua wewe unahusika au uhusiki.
 
Shetani kapewa muda wa kujitetea kabla hajapigwa chini
 
Uzuri jeshi letu Lina weredi wanakutangazia kabisa ili nyumbu atakayetoka asimlaumu Samia, mambo ya mama zenu wanaanza kudai maiti hatutaki.maana umeshaonywa umeshupaza shingo.
Mkishamwaga damu ndo mtaelewa utofauti wa damu na maji
 
Wakuu,

Imefika hatua kuna magari yanapita mtaani kuwakumbusha watu kwamba wasiandamane

Kupitia video hii ambayo kada wa CHADEMA ameshare kupitia ukurasa wake wa Instagram, hili fuso linapita katika maeneo mbalimbali ya jiji kuwahasa watu wasiandamane na waweze "kudumisha" amani

Nimewaza tu, hii mbinuj sio kwamba ndo inawapa taarifa na kufikisha ujumbe kwa watu wengi zaidi kwamba wasiandamane? Maana hapo kuna watu walikuwa hawajui kama kuna maandamano lakini kupitia mbinu hii sasa wengi zaidi watajua na huenda wakashiriki

Au wenzangu mnaonaje?

 
Maandamano kama tulishindwa 29. Tujipange tena sahivi niuongo.

Maandamano ya October 29 hayakushindwa, yalifanikiwa kwa kiwango kikubwa. We exposed Samia Suluhu na CCM na Dunia sasa inajua ukweli. Ulimwenguni kote sasa wanajua tunatawaliwa na serikali kimabavu, jiongengeze kaka
 
Ukiona kwamba unahamasishwa kuandamana we ingia ndo utajua walikuwa wanataka nini
 
Back
Top Bottom