PostGE2025 Magari ya matangazo yasambazwa mtaani kutoa taarifa kwamba watu wasiandamane. Hii imekaaje? Ni uoga au paranoia?

PostGE2025 Magari ya matangazo yasambazwa mtaani kutoa taarifa kwamba watu wasiandamane. Hii imekaaje? Ni uoga au paranoia?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wakuu,

Imefika hatua kuna magari yanapita mtaani kuwakumbusha watu kwamba wasiandamane

Kupitia video hii ambayo kada wa CHADEMA ameshare kupitia ukurasa wake wa Instagram, hili fuso linapita katika maeneo mbalimbali ya jiji kuwahasa watu wasiandamane na waweze "kudumisha" amani

Nimewaza tu, hii mbinuj sio kwamba ndo inawapa taarifa na kufikisha ujumbe kwa watu wengi zaidi kwamba wasiandamane? Maana hapo kuna watu walikuwa hawajui kama kuna maandamano lakini kupitia mbinu hii sasa wengi zaidi watajua na huenda wakashiriki

Au wenzangu mnaonaje?

Fear of the unknown
 
Sasa hapa si ndo kama wanatoa tangazo la maandamano mpaka level za chini kabisa kwa ambao hawana smartphones?😀

Hii inaitwa INDIRECT SENSITIZATION!
 
Wakuu,

Imefika hatua kuna magari yanapita mtaani kuwakumbusha watu kwamba wasiandamane

Kupitia video hii ambayo kada wa CHADEMA ameshare kupitia ukurasa wake wa Instagram, hili fuso linapita katika maeneo mbalimbali ya jiji kuwahasa watu wasiandamane na waweze "kudumisha" amani

Nimewaza tu, hii mbinuj sio kwamba ndo inawapa taarifa na kufikisha ujumbe kwa watu wengi zaidi kwamba wasiandamane? Maana hapo kuna watu walikuwa hawajui kama kuna maandamano lakini kupitia mbinu hii sasa wengi zaidi watajua na huenda wakashiriki

Au wenzangu mnaonaje?

Hii inasaidia vijana wasiojua kitu wasije wakafuata mkumbo kama tarehe 29 wasije wakapata madhara ya kupigwa za kichwa tena. Wabaki nyumbu promax ili hata wakipigwa za kichwa wamejitakia wenyewe.
 
kuna watu wamesomea kazi hiyo ya "kuhadaa na kupoza umma ulio kwenye hamaki" CCM wanatumia mbinu za zamani saaana!
 
Kwa mtu mwenye ufaulu wa hesabu kwa angalau kiwango cha D hawezi kushiri maandamano ya Dec 9, kwani kwa hesabu ndogo ya probability....huwezi kuingia kwenye vita ambayo kwa takribani 89% inaonesha tayari umeshindwa. Hayo ni matumizi mabaya ya Hesabu!
 
Back
Top Bottom