Magari ya michezo ni bei sana, serikali na Baraza la Michezo mtusaidie wapenzi wa michezo ya magari

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Silii kwa ajili yangu, nalia kwa ajili ya the coming young stars , and the coming generation.

Magari ya michezo ni bei kubwa sana na ushuru wake ni mkubwa, hawa chipukizi watawezaje?

Sera za kikodi ziangaliwe upya, vipaji sio Football ⚽ na riadha na ngumi peke yake, vipaji ni uwanda mpana, wote tunahitaji upendeleo, ruzuku, kipaumbele, kuthaminiwa, na kukuzwa pia
 
Si umnunulie subaru
Kwa hapa bongo mpaka atimize miaka 18 Ila Kwa ulaya yapo magari madogo ya mashindano ambayo yanakuwa na limit Fulani ya speed pamoja safety gears wanavaa mwilini kitu ambacho Kwa Sisi watu Hali Fulani ni ngumu kumudu maisha hayo ..
Wenzetu wahindi wanafanya mambo haya wakiwa wadogo Sana na ikitokea ajali wanaenda kutibiwa ulaya na sio mwananyamala hospital
 
Mtoto wangu anapenda Sana magari Toka yupo akiwa ana miaka 3 Hadi Leo yupo darasa la sita bado analala na magari kitandani laiti kama kingekuwa na shule wanafundisha watoto kuhusu mashindano ya magari angekuwa master Sana
Na angeshakua star. Hili nadhan ni wake up call. Mim nasikitishwa sana sana kukosa hata one swimming sport arena indoor yenye swimming pool Olympic Size. Tunakosa medal nying sana sana
 
Kuna michezo mingi Sana watoto wetu wangekuwa kwenye hizo fun kuliko kusubiri Ajira za serikali, sometimes naangalia michezo ya Huko Kwa wenzetu kama ingekuwa bongo tusingekufa na njaa
 
Mtoto wangu anapenda Sana magari Toka yupo akiwa ana miaka 3 Hadi Leo yupo darasa la sita bado analala na magari kitandani laiti kama kingekuwa na shule wanafundisha watoto kuhusu mashindano ya magari angekuwa master Sana
Mkuu Lewis Hamilton ni kijana matata sana kwenye mashindano ya magari na ameshinda sana tu
Alianza na upendo wa magari akiwa mdogo sana
Ulaya kuna sehemu za kuendesha magari madogo yanaitwa go-cart ni kwa ajili ya watoto na inafundisha vizuri tu na ni outing nzuri sana kwa familia nzima

Hamilton alikuwa anapelekwa na Baba yake kila wakati na akawa anashinda sana mpaka alipogundulika ni mkali wa speed

Hii biashara naifikiria sana mwanzo zilikuwa ghali sana ila sasa Mchina kwa kweli amesaidia mengi anayafyatua kama mwehu

Sasa nikiwa hata na kumi tu na uwanja mkubwa nafikiri tutapata vijana wa kesho
Screenshot_20231005_111352_Google~2.png
 
Mkuu Lewis Hamilton ni kijana matata sana kwenye mashindano ya magari na ameshinda sana tu
Alianza na upendo wa magari akiwa mdogo sana
Ulaya kuna sehemu za kuendesha magari madogo yanaitwa go-cart ni kwa ajili ya watoto na inafundisha vizuri tu na ni outing nzuri sana kwa familia nzima

Hamilton alikuwa anapelekwa na Baba yake kila wakati na akawa anashinda sana mpaka alipogundulika ni mkali wa speed

Hii biashara naifikiria sana mwanzo zilikuwa ghali sana ila sasa Mchina kwa kweli amesaidia mengi anayafyatua kama mwehu

Sasa nikiwa hata na kumi tu na uwanja mkubwa nafikiri tutapata vijana wa kesho View attachment 2772603
Yeesss!!!
Ni haya magari mkuu maana hata jina lake nilikuwa sijui mkuu
 
Hivi nini tofauti ya Formula 1 na Grand Prix?
Formula 1 na grand Prix ni kitu kimoja isipokuwa formula 1 ni jina rasmi la mashindano na grand Prix ni vipindi vyote vya mwaka nzima wa mashindano ndiyo maana kuna muda unakutaka yanafanyika nchi tofautitofauti duniani..
Vile vipindi vya haya mashindano yanaitwa grand Prix.

Pia kwenye ratiba zao za mashindano kunakuwa na grand Prix zaidi ya 4
 
Na mbio za langalanga zikoje?
 
Kuna michezo mingi Sana watoto wetu wangekuwa kwenye hizo fun kuliko kusubiri Ajira za serikali, sometimes naangalia michezo ya Huko Kwa wenzetu kama ingekuwa bongo tusingekufa na njaa
Nakubaliana nawe, michezo kama
*high jump
*long jump
*spear throwing,

sidhani kama uwekezaji wake ni mkubwa sana, na wanamichezo wanaweza patikana katika jamii kama ya kimasai, na kanda ya ziwa Victoria.
 
MiAKA Ya zaman tulikua tunaend pale bwawa la University of Dar es salaam. Sijui kama linafanya kaz. Kipind hicho tunakatiza mori big bon pale kumepak magar ya kiswele sijui yalikuaga yanakufaje kufaje yale maaana unalilkuta zima kabisa ila limepak mpaka linakufa.
SWIMMING,
ACROBATIC,
CHESS
SPEAR,
MAGICAL
hizi zote ni medal tupu na olympic kuna nafas kibao za kushinda. Watoto wa pale IST ndio wana pool la Olympics standard. Eneo kama Kigamboni lina fursa za sports arena lakini dah
 
Back
Top Bottom