PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Hizi sina ukweli wakeNa mbio za langalanga zikoje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi sina ukweli wakeNa mbio za langalanga zikoje?
Ni Jambo jema Sana unafanya Kwa watotoNimewapeleka sana wanangu kuyachezea hata mimi nilipanda na mwanangu wa mwisho
Ila mtoto anakuwa hodari
Ukisikia mtoto wa miaka 10 katoroka na Gari kaendesha maili kadhaa Ulaya au 🇺🇸 basi ujue katokea huko kwenye racing hizi
Kigamboni labda pale Fun cityMiAKA Ya zaman tulikua tunaend pale bwawa la University of Dar es salaam. Sijui kama linafanya kaz. Kipind hicho tunakatiza mori big bon pale kumepak magar ya kiswele sijui yalikuaga yanakufaje kufaje yale maaana unalilkuta zima kabisa ila limepak mpaka linakufa.
SWIMMING,
ACROBATIC,
CHESS
SPEAR,
MAGICAL
hizi zote ni medal tupu na olympic kuna nafas kibao za kushinda. Watoto wa pale IST ndio wana pool la Olympics standard. Eneo kama Kigamboni lina fursa za sports arena lakini dah
Kuna nchi ulaya mfano kama holland mwanao akifika miaka 4 ni lazima umpeleke kujifunza kuogelea,ya ni sheria kabisaNa angeshakua star. Hili nadhan ni wake up call. Mim nasikitishwa sana sana kukosa hata one swimming sport arena indoor yenye swimming pool Olympic Size. Tunakosa medal nying sana sana
Mkuu ni biashara na hapo hapo unawahamasisha watoto na wazazi kuwa na hobbies wanazopendaNi Jambo jema Sana unafanya Kwa watoto
Mtoto wa darasa la sita achezee gariMtoto wa darasa la sita anunuliwe gari!