Magari ya michezo ni bei sana, serikali na Baraza la Michezo mtusaidie wapenzi wa michezo ya magari

Magari ya michezo ni bei sana, serikali na Baraza la Michezo mtusaidie wapenzi wa michezo ya magari

Nimewapeleka sana wanangu kuyachezea hata mimi nilipanda na mwanangu wa mwisho
Ila mtoto anakuwa hodari
Ukisikia mtoto wa miaka 10 katoroka na Gari kaendesha maili kadhaa Ulaya au 🇺🇸 basi ujue katokea huko kwenye racing hizi
Ni Jambo jema Sana unafanya Kwa watoto
 
MiAKA Ya zaman tulikua tunaend pale bwawa la University of Dar es salaam. Sijui kama linafanya kaz. Kipind hicho tunakatiza mori big bon pale kumepak magar ya kiswele sijui yalikuaga yanakufaje kufaje yale maaana unalilkuta zima kabisa ila limepak mpaka linakufa.
SWIMMING,
ACROBATIC,
CHESS
SPEAR,
MAGICAL
hizi zote ni medal tupu na olympic kuna nafas kibao za kushinda. Watoto wa pale IST ndio wana pool la Olympics standard. Eneo kama Kigamboni lina fursa za sports arena lakini dah
Kigamboni labda pale Fun city
 
Na angeshakua star. Hili nadhan ni wake up call. Mim nasikitishwa sana sana kukosa hata one swimming sport arena indoor yenye swimming pool Olympic Size. Tunakosa medal nying sana sana
Kuna nchi ulaya mfano kama holland mwanao akifika miaka 4 ni lazima umpeleke kujifunza kuogelea,ya ni sheria kabisa
 
Back
Top Bottom