KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Si umnunulie subaruMtoto wangu anapenda Sana magari Toka yupo akiwa ana miaka 3 Hadi Leo yupo darasa la sita bado analala na magari kitandani laiti kama kingekuwa na shule wanafundisha watoto kuhusu mashindano ya magari angekuwa master Sana
Mtoto wa darasa la sita anunuliwe gari!Si umnunulie subaru
DahMtoto wa darasa la sita anunuliwe gari!
Kwa hapa bongo mpaka atimize miaka 18 Ila Kwa ulaya yapo magari madogo ya mashindano ambayo yanakuwa na limit Fulani ya speed pamoja safety gears wanavaa mwilini kitu ambacho Kwa Sisi watu Hali Fulani ni ngumu kumudu maisha hayo ..Si umnunulie subaru
Na angeshakua star. Hili nadhan ni wake up call. Mim nasikitishwa sana sana kukosa hata one swimming sport arena indoor yenye swimming pool Olympic Size. Tunakosa medal nying sana sanaMtoto wangu anapenda Sana magari Toka yupo akiwa ana miaka 3 Hadi Leo yupo darasa la sita bado analala na magari kitandani laiti kama kingekuwa na shule wanafundisha watoto kuhusu mashindano ya magari angekuwa master Sana
Kuna michezo mingi Sana watoto wetu wangekuwa kwenye hizo fun kuliko kusubiri Ajira za serikali, sometimes naangalia michezo ya Huko Kwa wenzetu kama ingekuwa bongo tusingekufa na njaaNa angeshakua star. Hili nadhan ni wake up call. Mim nasikitishwa sana sana kukosa hata one swimming sport arena indoor yenye swimming pool Olympic Size. Tunakosa medal nying sana sana
Mkuu Lewis Hamilton ni kijana matata sana kwenye mashindano ya magari na ameshinda sana tuMtoto wangu anapenda Sana magari Toka yupo akiwa ana miaka 3 Hadi Leo yupo darasa la sita bado analala na magari kitandani laiti kama kingekuwa na shule wanafundisha watoto kuhusu mashindano ya magari angekuwa master Sana
😄 bado analala na toysSi umnunulie subaru
Yeesss!!!Mkuu Lewis Hamilton ni kijana matata sana kwenye mashindano ya magari na ameshinda sana tu
Alianza na upendo wa magari akiwa mdogo sana
Ulaya kuna sehemu za kuendesha magari madogo yanaitwa go-cart ni kwa ajili ya watoto na inafundisha vizuri tu na ni outing nzuri sana kwa familia nzima
Hamilton alikuwa anapelekwa na Baba yake kila wakati na akawa anashinda sana mpaka alipogundulika ni mkali wa speed
Hii biashara naifikiria sana mwanzo zilikuwa ghali sana ila sasa Mchina kwa kweli amesaidia mengi anayafyatua kama mwehu
Sasa nikiwa hata na kumi tu na uwanja mkubwa nafikiri tutapata vijana wa kesho View attachment 2772603
Formula 1 na grand Prix ni kitu kimoja isipokuwa formula 1 ni jina rasmi la mashindano na grand Prix ni vipindi vyote vya mwaka nzima wa mashindano ndiyo maana kuna muda unakutaka yanafanyika nchi tofautitofauti duniani..Hivi nini tofauti ya Formula 1 na Grand Prix?
Na mbio za langalanga zikoje?Formula 1 na grand Prix ni kitu kimoja isipokuwa formula 1 ni jina rasmi la mashindano na grand Prix ni vipindi vyote vya mwaka nzima wa mashindano ndiyo maana kuna muda unakutaka yanafanyika nchi tofautitofauti duniani..
Vile vipindi vya haya mashindano yanaitwa grand Prix.
Pia kwenye ratiba zao za mashindano kunakuwa na grand Prix zaidi ya 4
Ni formula 1 ambazo ndo grand prixNa mbio za langalanga zikoje?
Nimewapeleka sana wanangu kuyachezea hata mimi nilipanda na mwanangu wa mwishoYeesss!!!
Ni haya magari mkuu maana hata jina lake nilikuwa sijui mkuu
Nakubaliana nawe, michezo kamaKuna michezo mingi Sana watoto wetu wangekuwa kwenye hizo fun kuliko kusubiri Ajira za serikali, sometimes naangalia michezo ya Huko Kwa wenzetu kama ingekuwa bongo tusingekufa na njaa
MiAKA Ya zaman tulikua tunaend pale bwawa la University of Dar es salaam. Sijui kama linafanya kaz. Kipind hicho tunakatiza mori big bon pale kumepak magar ya kiswele sijui yalikuaga yanakufaje kufaje yale maaana unalilkuta zima kabisa ila limepak mpaka linakufa.Nakubaliana nawe, michezo kama
*high jump
*long jump
*spear throwing,
sidhani kama uwekezaji wake ni mkubwa sana, na wanamichezo wanaweza patikana katika jamii kama ya kimasai, na kanda ya ziwa Victoria.