Una jua gunia la mahindi kg 108 ni bei gani?, Lina toa unga kg 25 mifuko mingapi!.

Kheri nikomae na unga wa sembe, kuliko bolt.

min -me kwani chama kime kataza kumiliki hata kijiko?
 
Kaka, ndio naingia town nakuja inbox nikishuka tu Mbezi,
 
Una jua gunia la mahindi kg 108 ni bei gani?, Lina toa unga kg 25 mifuko mingapi!.

Kheri nikomae na unga wa sembe, kuliko bolt.

min -me kwani chama kime kataza kumiliki hata kijiko?
Katiba ya Chama inasemaje? Na kwanini una mu address makamu min -me katika kila jambo? Au mnatuzunguka?

Mimi sijakataa kuendelea na Hilo swala la sembe na Dona. Nimetilia mkazo ukinunua gari la million 5 litasaidia kubeba hivyo viroba vya unga na kuzungusha kwenye maduka!

Hapo hapo tutapiga bolt.

Ibara ya 8 katika Katiba inasema;

Kiongozi yoyote wa CHAMA hiki, anapaswa kuweka wazi Mali na mapato yake ili kutoleta matafaruku baina yake na wanachama
 
Acha wehu hiyo paso au Ist haiwezi beba sembe mifuko 300 per trip, halafu huoni Kama ni hasara ya mafuta maana haiendi mbali?.

Kuhusu kumtaja min -me ume sahau huyo ni katibu wa chama Cha ma jobless pro max, hivyo ana zijua Sheria na misingi ya chama.

kuweka mali na mapato yangu wazi , subiri 2040 nita kuachia madaraka na wewe🤣😂
 
Carry bichwa kubwa/bichwa la ng'ombe

Ya kuwasha na kuondoka.

changamoto uje nazo wewe.

Bei yake ni 2.8 milioni

Location: kibaha
Contact ; WhatsApp 0712 148001.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…